BARAZA LA MADIWANI NYASA LAMPONGEZA NAIBU WAZIRI MANYANYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-5aHGNXTGxH8/Xr05xPTLOTI/AAAAAAALqMg/G8V4SnIMc30A9nQlzLmvLh3SBfNQldJLwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200512_133754_0-2048x1536.jpg)
Mbunge wa wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stela Manyanya Amabaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara akiwa katika Baraza la Madiwani lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba-bay Wilayani Nyasa.Pamoja na mambo mengine Baraza hilo limempongeza kwa kutekeleza miradi mingi ya Maendeo Wilayani hapa
*********************************
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, limempongeza Mbunge wa jimbo la Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-EcQxKwz9HbY/XlOlve9WnDI/AAAAAAALe_E/9A8vNd2zoL8d04DrCK5iIxB3k87rCZ5ZQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_7624AA-1024x682.jpg)
BARAZA LA MADIWANI NYASA LAPITISHA BAJETI YA SH.BILIONI 24.5 MPANGO WA FEDHA 2020/21
![](https://1.bp.blogspot.com/-EcQxKwz9HbY/XlOlve9WnDI/AAAAAAALe_E/9A8vNd2zoL8d04DrCK5iIxB3k87rCZ5ZQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_7624AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/IMG_7579AA-1024x682.jpg)
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mh. Altho Komba akizungumza katika kikao cha Baraza la madiwani la Bajeti lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba-bay wilayani hapa,kushoto na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyasa Bw Bernad Semwaiko……………………………………………………………………………………….Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma limepitisha Mpango na Bajeti ya TSh.bilioni 24.5 kwa ajili kutekeleza shughuli mbalimbali za Halmashauri zilizopangwa kufanyika...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MANYANYA AKABIDHI MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER) KWA WIZARA YA AFYA TIRDO NA SIDO LEO
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Baraza la Madiwani lamgomea waziri
BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, limemgomea Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri kuendelea...
9 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundu Mhe. Eng Stella Manyanya afungua mafunzo ya walimu mahiri wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili Ruvuma.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe.
9 years ago
CCM BlogBARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aaziFeeLz-o/XmYIwIBht5I/AAAAAAALiKY/_dVfERW1yCwFkTVhdLqLfbBhNWOPZLk4QCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OSHA, ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-aaziFeeLz-o/XmYIwIBht5I/AAAAAAALiKY/_dVfERW1yCwFkTVhdLqLfbBhNWOPZLk4QCLcBGAsYHQ/s640/0.jpg)
Hayo yamesemwa Jijini Arusha wakati wa ukifunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA),...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI CHARLES KITWANGA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI SILIMA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI JIJINI TANGA