MWENYEKITI WA TANZANIA MEDIA FOUNDATION (TMF) MAMA HALIMA SHARIFF AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA TMF MPYA

Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania Media Foundation (TMF) mpya yazinduliwa rasmi!
Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa Septemba 22.2015, katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation – Mfuko wa Habari Tanzania – TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia Septemba 22.2015 kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua...
10 years ago
Michuzi
uzinduzi wa Tanzania Media Foundation (TMF) wanafana usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam


10 years ago
Michuzi
Tanzania Media Fund (TMF) kutuza waandish kesho

Tukio hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na watu mashuhuri kutoka kwenye taaluma ya uandishi wa habari pamoja na asasi za...
10 years ago
TheCitizen24 Sep
TMF boosts 37 media houses
11 years ago
Michuzi27 May
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
TMF yaendesha mafunzo ya ‘New Media na Data Journalism’
Na modewji blog
MFUKO wa Vyombo vya habari nchini Tanzania (TMF) unaendesha mafunzo ya siku tano kwa waandishi wa habari kuhusu ‘New media and data journalism’ kuanzia Machi 17 -21, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo yanahusisha washiriki 10 kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini ambavyo ni redio, magazeti, taasisi za elimu ya juu zinazofundisha masula ya habari na mawasiliano ya umma na mitandao ya kijamii.
Afisa Mafunzo wa TMF Bi. Raziah Mwawanga akiongea wakati wa mafunzo...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Vijimambo
SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA (TMF) LAUNGA MKONO MABADILIKO YA RASIMU YA KATIBA


Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), limeunga mkono rasimu ya mabadiliko ya katiba kwa kile walichodai kuwa kimegusa maslahi yao hivyo wataipigania kwa nguvu zote...
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Mfuko wa vyombo vya Habari Tanzania (TMF) kuadhimisha miaka nane ya mafanikio
Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza tukio hilo, ameeleza Tarehe 22 Septemba, 2015 tutakuwa na tukio la madhimisho ambayo yatajumuisha maonyesho kwa ajili ya waandishi wa habari waliowezeshwa na misaada ya TMF kuonyesha kazi zao na jinsi gani zimechangia kuleta uwajibikaji na pia kuonyesha kazi ambazo zimepandisha kiwango cha mijadala ya umma katika masuala husika hususani utawala bora na haki za...