Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Media Fund (TMF) kutuza waandish kesho

DAR-ES-SALAAM, SEPTEMBA 20 2015 – Mfuko wa Habari Tanzania utatoa kesho tuzo maalum tuzo kwa waandishi waliowezeshwa na TMF na kazi zao kuweza kuleta mabadiliko chanya. Hafla ya utoaji tuzo hizo itafanyikakwenye ukumbi wa LAPF Millenium Towers jijini Dar es salaam kesho tarehe 22 Septemba 2015 na itaambatana na maonyesho ya kazi hizo za kiuandishi. 
 Tukio hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na watu mashuhuri kutoka kwenye taaluma ya uandishi wa habari pamoja na asasi za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania Media Foundation (TMF) mpya yazinduliwa rasmi!

2m Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa Septemba 22.2015, katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. 

1mKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation – Mfuko wa Habari Tanzania – TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia Septemba 22.2015 kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua...

 

9 years ago

Michuzi

uzinduzi wa Tanzania Media Foundation (TMF) wanafana usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation - Mfuko wa Habari Tanzania - TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua nafasi ya Tanzania Media Fund  Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa kuamkia leo  katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini...

 

9 years ago

TheCitizen

TMF boosts 37 media houses

The Tanzania Media Foundation, formerly known as the Tanzania Media Fund (TMF), says it has in the past two year offered grants to 37 media organisations to address the challenge of accountability.

 

10 years ago

Dewji Blog

TMF yaendesha mafunzo ya ‘New Media na Data Journalism’

data-pictures-640x468

Na modewji blog

MFUKO wa Vyombo vya habari nchini Tanzania (TMF) unaendesha mafunzo ya siku tano kwa waandishi wa habari kuhusu ‘New media and data journalism’ kuanzia Machi 17 -21, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.

Mafunzo hayo yanahusisha washiriki 10 kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini ambavyo ni redio, magazeti, taasisi za elimu ya juu zinazofundisha masula ya habari na mawasiliano ya umma na mitandao ya kijamii.

Afisa Mafunzo wa TMF Bi. Raziah Mwawanga akiongea wakati wa mafunzo...

 

9 years ago

Michuzi

TMF KUWATUZA WAANDISHI KESHO

MFUKO wa Habari Tanzania utatoa kesho tuzo maalum tuzo kwa waandishi waliowezeshwa na TMF na kazi zao kuweza kuleta mabadiliko chanya. Hafla ya utoaji tuzo hizo itafanyika jijini Dar es salaam kesho tarehe 22 Septemba na itaambatana na maonyesho ya kazi hizo za kiuandishi.  Tukio hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na watu mashuhuri kutoka kwenye taaluma ya uandishi wa habari pamoja na asasi za kiraia, wafadhili na serikali.
“Wakati Mfuko wa Habari Tanzania ukifikia tamati,...

 

9 years ago

IPPmedia

Media fund now a foundation as it marks eighth anniversary


IPPmedia
Media fund now a foundation as it marks eighth anniversary
IPPmedia
The Tanzania Media Fund (TMF) has over the past eight years since its establishment provided over 570 grants to individual journalists and over 120 to media institutions. This was revealed by TMF Director, Ernest Sungura at a press conference to ...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA (TMF) LAUNGA MKONO MABADILIKO YA RASIMU YA KATIBA

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kasimu Mapili (kulia), akiimba wakati Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akilipongeza Bunge la Katiba kwa kuingiza katika katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki.
Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), limeunga mkono rasimu ya mabadiliko ya katiba kwa kile walichodai kuwa kimegusa maslahi yao hivyo wataipigania kwa nguvu zote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani