TMF KUWATUZA WAANDISHI KESHO

MFUKO wa Habari Tanzania utatoa kesho tuzo maalum tuzo kwa waandishi waliowezeshwa na TMF na kazi zao kuweza kuleta mabadiliko chanya. Hafla ya utoaji tuzo hizo itafanyika jijini Dar es salaam kesho tarehe 22 Septemba na itaambatana na maonyesho ya kazi hizo za kiuandishi. Tukio hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na watu mashuhuri kutoka kwenye taaluma ya uandishi wa habari pamoja na asasi za kiraia, wafadhili na serikali.
“Wakati Mfuko wa Habari Tanzania ukifikia tamati,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Sep
TMF yatoa tuzo kwa waandishi
MFUKO wa Habari Tanzania (TMF) umetoa tuzo kwa waandishi wa habari, waliowezeshwa na mfuko huo na kazi zao kuleta mabadiliko chanya katika tasnia ya habari nchini.
10 years ago
Vijimambo20 Apr
TMF, UN Yatoa Vyeti kwa Wanahabari Waandishi wa Dawa za Kulevya


10 years ago
Vijimambo20 Apr
TMF, UN YATOA VYETI KWA WANAHABARI WAANDISHI WA HABARI ZA DAWA ZA KULEVYA


11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Waandishi wa habari waaswa kushirikiana na TMF ili kupunguza utegemezi wa matangazo
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa mradi wa mafunzo ya bure kwa waandishi wa habari kwenye maeneo matano, sekta ya uchimbaji, unyanyasaji wa kjinsia, kupamba na biashara ya madawa ya kulevya na kuzuia utumiaji wa madawa ya Kulevya kwa waandishi wa habari na utayarishaji na utengenezaji wa vipindi vya luninga na wanawake watangazaji jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. kushoto kwake ni Msaidizi wa Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja...
11 years ago
GPL
WAANDISHI WA HABARI WAASWA KUSHIRIKIANA NA TMF ILI KUPUNGUZA UTEGEMEZI WA MATANGAZO
10 years ago
Michuzi
Tanzania Media Fund (TMF) kutuza waandish kesho

Tukio hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na watu mashuhuri kutoka kwenye taaluma ya uandishi wa habari pamoja na asasi za...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
DEADLINE NI KESHO ....MWISHO WA KUNUNUA TICKET ZA DISCOUNT KWA $75 NI KESHO ,BAADA YA KESHO ZITAKUWA $100.
