uzinduzi wa Tanzania Media Foundation (TMF) wanafana usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation - Mfuko wa Habari Tanzania - TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua nafasi ya Tanzania Media Fund Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuziajali ya moto yasababisha maafa ukonga Kipunguni usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam
11 years ago
GPLKANUMBA FOUNDATION YAZINDULIWA USIKU WA KUAMKIA LEO DAY DAR LIVE
10 years ago
VijimamboUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
10 years ago
GPLUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena usiku wa kuamkia leo
Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto). Kulia ni Sales Representative wa CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba.
Sales Representative wa Kampuni ya CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto) alipotembelea meza ya Mercedes Benz magari yanayouzwa na kampuni ya CFAO...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania Media Foundation (TMF) mpya yazinduliwa rasmi!
Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa Septemba 22.2015, katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation – Mfuko wa Habari Tanzania – TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia Septemba 22.2015 kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua...
10 years ago
VijimamboLORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO
Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...