Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ajali ya moto yasababisha maafa ukonga Kipunguni usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam

Majirani wakiondoa vitu kwenye nyumba iliyoungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu sita kupoteza maisha huko Ukonga Kipunguni jijini Dar es salaam. Chini ni baadhi ya ndugu, jamaa na majirani wakiwa katika simanzi. Habari zaidi zitakuja baada ya kuthibitishwa na mamlaka husika.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO


Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO MBAGALA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO

Sehemu ya Mabaki Lori la mafuta lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupiga mweleka likiwa katika hatakati ya kulikwepa gari lingine lililokuwa likitokea Kongowe ambalo liliingia ghafla barabarani bila ya tahadhari,hali iliyolipelekea Lori hilo kukosa mwelekeo na kupiga mweleka.
Lori hilo pamoja na kupiga kwake mweleka halikuwa na madhara yeyote wala dalili ya kusema litawaka moto.Baada ya muda likaja kundi la vijana likiwa na madumu na mifuko ya plastiki na kuanza...

 

9 years ago

Michuzi

uzinduzi wa Tanzania Media Foundation (TMF) wanafana usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,  Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation - Mfuko wa Habari Tanzania - TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua nafasi ya Tanzania Media Fund  Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa kuamkia leo  katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini...

 

11 years ago

GPL

MOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO

Moto mkubwa umezuka katika Hoteli ya Janco iliyopo Forest Mpya jijini Mbeya usiku wa kuakia leo. Chanzo cha moto huo hakijajulikana.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena usiku wa kuamkia leo

DSC_0277

DSC_0338

Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto). Kulia ni Sales Representative wa CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba.

DSC_0339

Sales Representative wa Kampuni ya CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto) alipotembelea meza ya Mercedes Benz magari yanayouzwa na kampuni ya CFAO...

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA AJALI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR LEO

Watu wakishuhudia gari lililogongwa. Toyota Prado lililogonga gari dogo likishuhudiwa na wananchi.
Sehemu ya…

 

10 years ago

Dewji Blog

Twanga Pepeta wafanya shoo ya nguvu Maisha Club usiku wa kuamkia leo jijini Dar

Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na  Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar

Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye...

 

11 years ago

GPL

MOTO WAZUKA CHUO CHA UDOM USIKU WA KUAMKIA LEO

Moto ukiendelea kuwaka usiku wa kuamkia leo karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chanzo cha moto huo hakijajulikana. Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi usiku wa manane. (PICHA NA Global WhatsApp +255 753… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani