Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba
NA WAANDISHI WETU
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Mzumbe, wameunga mkono mchakato wa Bunge Maalumu la Katiba, wakisema wanaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika mwenendo mzima wa Bunge hilo.
Pia wamesema mwafaka unawezekana kuhusu vipengele viliyobakia na kupatikana kwa theluthi mbili za kupitisha Katiba Mpya.
Wanafunzi hao walieleza msimamo wao juzi jioni chuoni hapo kwenye risala ambayo waliisoma mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Rais alitembelea chuo hicho ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Chuo Kikuu Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba
Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.
Raia akipiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...
11 years ago
Habarileo16 Jul
Viongozi wa dini waunga mkono hoja ya kuombea Bunge
KIONGOZI wa Jumuiya ya Ahamadiyya Mkoa wa Dodoma na Singida Bashart ur Rehman Butt ameunga mkono kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kutaka viongozi wa dini kuombea Bunge la Katiba ili liweze kuendelea.
10 years ago
Habarileo11 May
UN waunga mkono kazi ya Kikwete
JUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
10 years ago
Habarileo08 Dec
VIP waunga mkono uchunguzi Escrow
KAMPUNI iliyokuwa na hisa katika Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), VIP Engineering and Marketing Limited, imesema kuwa inaunga mkono uchunguzi utakaobanisha ukweli kuhusu sakata la Sh bilioni 300 zilizokuwepo kwenye akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Waunga mkono kauli za viongozi wa dini
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Wadhamini waunga mkono hatua ya Blatter