Viongozi wa dini waunga mkono hoja ya kuombea Bunge
KIONGOZI wa Jumuiya ya Ahamadiyya Mkoa wa Dodoma na Singida Bashart ur Rehman Butt ameunga mkono kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kutaka viongozi wa dini kuombea Bunge la Katiba ili liweze kuendelea.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Waunga mkono kauli za viongozi wa dini
11 years ago
Habarileo03 Aug
Viongozi wa dini wahimizwa kuombea Bunge la Katiba
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka amewaomba viongozi wa dini, kuliombea Bunge la Katiba ili kusaidia kupatikana kwa Katiba bora itakayowaongoza Watanzania katika maisha yao ya kila siku.
10 years ago
Habarileo13 Jan
Ahimiza viongozi wa dini kuombea Taifa
WAKATI Taifa likielekea katika kura ya maoni ya Katiba Mpya na Uchaguzi Mkuu, viongozi wa dini nchini wametakiwa kutumia muda wao kuliombea taifa kuwa na amani na kulivusha salama katika matukio hayo makubwa.
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Aug
Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba
NA WAANDISHI WETU
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Mzumbe, wameunga mkono mchakato wa Bunge Maalumu la Katiba, wakisema wanaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika mwenendo mzima wa Bunge hilo.
Pia wamesema mwafaka unawezekana kuhusu vipengele viliyobakia na kupatikana kwa theluthi mbili za kupitisha Katiba Mpya.
Wanafunzi hao walieleza msimamo wao juzi jioni chuoni hapo kwenye risala ambayo waliisoma mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Rais alitembelea chuo hicho ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani...
10 years ago
Habarileo07 Feb
Bilal ataka viongozi wa dini kuombea taifa amani
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Bilal amewataka viongozi na waumini wa dini zote nchini, kuombea taifa ili Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni kwa ajili ya Kkatiba Inayopendekezwa zimalizike kwa amani na utulivu.
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Chuo Kikuu Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Viongozi wa dini wapingana Bunge la Katiba
WAKATI Taasisi mbalimbali za kidini nchini zikiendelea kumwomba Rais Jakaya Kikwete alisitishe Bunge Maalum la Katiba, wakidai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetumia wingi wa wajumbe wake kupuuza maoni ya wananchi...
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum
ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...