Viongozi wa dini wahimizwa kuombea Bunge la Katiba
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka amewaomba viongozi wa dini, kuliombea Bunge la Katiba ili kusaidia kupatikana kwa Katiba bora itakayowaongoza Watanzania katika maisha yao ya kila siku.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jul
Viongozi wa dini waunga mkono hoja ya kuombea Bunge
KIONGOZI wa Jumuiya ya Ahamadiyya Mkoa wa Dodoma na Singida Bashart ur Rehman Butt ameunga mkono kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kutaka viongozi wa dini kuombea Bunge la Katiba ili liweze kuendelea.
11 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Viongozi wa dini wapingana Bunge la Katiba
WAKATI Taasisi mbalimbali za kidini nchini zikiendelea kumwomba Rais Jakaya Kikwete alisitishe Bunge Maalum la Katiba, wakidai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetumia wingi wa wajumbe wake kupuuza maoni ya wananchi...
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA ATEMBELEA VIONGOZI WA DINI
10 years ago
Habarileo13 Jan
Ahimiza viongozi wa dini kuombea Taifa
WAKATI Taifa likielekea katika kura ya maoni ya Katiba Mpya na Uchaguzi Mkuu, viongozi wa dini nchini wametakiwa kutumia muda wao kuliombea taifa kuwa na amani na kulivusha salama katika matukio hayo makubwa.
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini
Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...
10 years ago
Habarileo07 Feb
Bilal ataka viongozi wa dini kuombea taifa amani
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Bilal amewataka viongozi na waumini wa dini zote nchini, kuombea taifa ili Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni kwa ajili ya Kkatiba Inayopendekezwa zimalizike kwa amani na utulivu.
10 years ago
StarTV18 Sep
Viongozi wa dini wahimizwa kuiombea nchi amani
Serikali wilayani Meatu katika mkoa wa Simiyu imewataka viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kuiombea nchi amani katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kufanya wa amani na haki.
Aidha viongozi hao wametakiwa kuacha upendeleo kwa chama kimoja cha siasa na badala yake watoe haki sawa kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika wilaya hiyo.
Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Meatu Erasto Sima katika uzinduzi wa mkutano mkubwa wa Injili unaofanyika katika mji wa Mwanhuzi wilayani humo...
10 years ago
StarTV12 Oct
Viongozi wa Dini wahimizwa kufuata sheria za nchi
Viongozi wa Dini nchini wametakiwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria za nchi wakati wanapotaka kusajili taasisi zao kwa ajili ya kutoa huduma za kiroho.
Tamko hilo limetolewa kwa madai kuwa baadhi ya Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste ambao hawako kwenye Baraza la Makanisa nchini wanakiuka taratibu za usajilli.
Maaskofu hao wamelilaumu Baraza la Makanisa ya Kipentekoste na Serikali kuwa wanazuia usajili kukiwa na tetesi ya kutaka kufutwa kwa baadhi ya taasisi.
Akijibu...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa
.jpg)
.jpg)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...