MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA ATEMBELEA VIONGOZI WA DINI
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akishuka kwenye gari alipokuwa ziarani leo kwenye Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini
Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum
ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscZRThfVVNSbCOmFiN*wfTCycf-cQ83j9rHOumWBCsBO-ETXw4K23r5SrvJRhUHdmqehVqM0-0bMb4HwLPN-Cle8/unnamed72.jpg?width=650)
MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s72-c/PIX-13.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya
![](http://4.bp.blogspot.com/-8gAV_3giTKg/VARzsekqJOI/AAAAAAAGZ50/t7y5tmJraW8/s1600/PIX-13.jpg)
Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.
Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Viongozi wa dini wapingana Bunge la Katiba
WAKATI Taasisi mbalimbali za kidini nchini zikiendelea kumwomba Rais Jakaya Kikwete alisitishe Bunge Maalum la Katiba, wakidai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetumia wingi wa wajumbe wake kupuuza maoni ya wananchi...
11 years ago
Habarileo19 Feb
Kificho Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum la Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa.
11 years ago
Habarileo03 Aug
Viongozi wa dini wahimizwa kuombea Bunge la Katiba
MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka amewaomba viongozi wa dini, kuliombea Bunge la Katiba ili kusaidia kupatikana kwa Katiba bora itakayowaongoza Watanzania katika maisha yao ya kila siku.
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba