Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum

ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA ATEMBELEA VIONGOZI WA DINI

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akishuka kwenye gari alipokuwa ziarani leo kwenye Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akutana na Viongozi wa Dini

PIX 1

Mhe. Mufti Sheikh Issa Shaaban Simba  akimkaribisha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta leo jijini Dar es Salaam wakati alipomtembelea kumuelezea maendeleo ya vikao vya Bunge linaloendelea mjini Dodoma.

PIX 3

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ziara yake katika Ofisi za Bakwata kuelezea maendeleo ya cikao vya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bakwata Suleiman...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu: Viongozi wa dini tusitumike kisiasa

Alhadi Mussa SalumBAADHI ya viongozi wa dini nchini wametakiwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa kama sehemu ya kampeni zao katika nyumba za ibada kwenye harakati zao za kutafuta uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea

Askofu Mkuu wa Kanisa la International Evengalist, Arumeru – Arusha, Elihudi Isangya amewataka viongozi wa dini nchini, kuviachia vyama vya siasa kuwateua wagombea wao wa urais katika Uchaguzi Mkuu ujao badala ya kuwa wasemaji wa wanasiasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa dini wapingana Bunge la Katiba

WAKATI Taasisi mbalimbali za kidini nchini zikiendelea kumwomba Rais Jakaya Kikwete alisitishe Bunge Maalum la Katiba, wakidai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetumia wingi wa wajumbe wake kupuuza maoni ya wananchi...

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wahimizwa kuombea Bunge la Katiba

Christopher ole SendekaMBUNGE wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher ole Sendeka amewaomba viongozi wa dini, kuliombea Bunge la Katiba ili kusaidia kupatikana kwa Katiba bora itakayowaongoza Watanzania katika maisha yao ya kila siku.

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini waunga mkono hoja ya kuombea Bunge

KIONGOZI wa Jumuiya ya Ahamadiyya Mkoa wa Dodoma na Singida Bashart ur Rehman Butt ameunga mkono kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kutaka viongozi wa dini kuombea Bunge la Katiba ili liweze kuendelea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani