Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waunga mkono fedha za maadhimisho kununua dawa

TAASISI ya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam inayotoa huduma za kichungaji kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (Pasada), imeunga mkono agizo lililotolewa na Rais John Magufuli la kutaka fedha zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi kuelekezwa kununua dawa kwa ajili ya waathirika wa ukimwi na vitendanishi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wananchi waunga mkono kampuni kununua kahawa

WANANCHI wa Wilaya wa Ngara, mkoani Kagera wameiomba Serikali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Kampuni ya Arab Globe International wilayani humo, kununua na kusindika kahawa ya unga kwani imekuwa msaada mkubwa kwao.

 

9 years ago

Michuzi

Airtel waunga mkono tamko la Rais Dkt.Magufuli la kufanya usafi kama siku ya maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania




Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel mkoani Songea wakifanya usafi leo katika hospitali ya wilaya ya Nzega Ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

UN waunga mkono kazi ya Kikwete

Rais Jakaya KikweteJUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Habarileo

VIP waunga mkono uchunguzi Escrow

KAMPUNI iliyokuwa na hisa katika Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), VIP Engineering and Marketing Limited, imesema kuwa inaunga mkono uchunguzi utakaobanisha ukweli kuhusu sakata la Sh bilioni 300 zilizokuwepo kwenye akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba


NA WAANDISHI WETU
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Mzumbe, wameunga mkono mchakato wa Bunge Maalumu la Katiba, wakisema wanaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika mwenendo mzima wa Bunge hilo.
Pia wamesema mwafaka unawezekana kuhusu vipengele viliyobakia na kupatikana kwa theluthi mbili za kupitisha Katiba Mpya.
Wanafunzi hao walieleza msimamo wao juzi jioni chuoni hapo kwenye risala ambayo waliisoma mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Rais alitembelea chuo hicho ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

Waunga mkono kauli za viongozi wa dini

Wanazuoni na wananchi mbalimbali wameunga mkono ushauri wa viongozi wa dini wa kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuacha kuwatusi waliokuwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadhamini waunga mkono hatua ya Blatter

Wadhamini wakuu wa FIFA wameafiki tangazo la Bwana Blatter kujiuzulu, wakisema kuwa ni hatua bora kuelekea mageuzi ya shirikisho hilo.

 

9 years ago

Global Publishers

Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba

rwanda (5)Rais wa Rwanda, Paul Kagame.

Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.

rwanda (1)Raia akipiga kura.

Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...

 

9 years ago

Mwananchi

Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli

Umoja wa Rufaa ya Wananchi (Uruwa) unaoundwa na vyama visivyopata ruzuku ya Serikali, wamepongeza utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani