Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Weusi kuuza album yao mtandaoni kukwepa maharamia

Licha ya kukithiri kwa tatizo la wizi wa kazi za sanaa Tanzania, kundi la muziki la Weusi lina mpango wa kuuza album yao kwa njia ya watu kudownload mtandaoni. Msemaji wa kundi hilo, rapper Nikki Wa Pili amesema kuwa wanaamini kwamba hiyo ni njia itakayowapunguza nguvu maharamia wa kazi za wasanii. “Plan yetu ni kuweka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEPS ISHU SIYO KUUZA BUKUBUKU, TUTAWAMALIZAJE MAHARAMIA?

KWENU wasambazaji wakongwe wa sinema za Kibongo, Kampuni ya Steps Entertainment. Bila shaka mko poa na mnaendelea na shughuli zenu za kusambaza kazi za wasanii wetu wa Bongo Movies.
Binafsi mimi ni mzima wa afya, naendelea vizuri na majukumu yangu ya kila siku. Kwa heshima ya pekee naomba niutambue uwepo wa Mkurugenzi wa Steps, Diresh Solanki, umechangia kwa kiasi fulani kukuza sanaa nchini. Dhumuni la barua hii ni kutaka...

 

5 years ago

Michuzi

WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta  madhara,ambapo  Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni  wameladhimika kuyahama makazi yao  kutokana  na mafuriko



 

9 years ago

MillardAyo

Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi..

Nafasi ya muziki kwa sasa imekua kubwa sana kiasi kwamba wasanii wetu wa Tanzania mbali na kutotoa album tena lakini wamekua na nafasi ya kuuza singo moja moja, mitandaoni na huko ndio zinakusanywa pesa nyingine pia na matunda ya muziki wao. Sasa tovuti inayouza ngoma za wasanii mitandaoni,  Mkito.com wametupa list kamili ya wasanii waliiongoza […]

The post Mastaa wa muziki walivyoongoza kuuza mitandaoni >> Alikiba, Christian Bella, Vee Money na Weusi.. appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke anayedaiwa kuuza mtoto mtandaoni ashtakiwa

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 nchini Afrika Kusini amefikishwa mahakamani leo akidaiwa kujaribu kumuuza mwanawe.

 

11 years ago

Mwananchi

Ben Pol: Aeleza sababu za kuuza albamu mtandaoni

Wakati wasanii wengine wakitoa albamu za Mixtape na kuziuza sokoni, wiki hii mwanamuziki wa R&B Bernald Paul maarufu Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Unanichora’, huku akifanya uamuzi mgumu  wa kuiuza albamu yake mtandaoni.

 

9 years ago

Bongo5

Album ya Adele ‘25’ kuuza nakala milioni 3 Marekani pekee kwenye wiki ya kwanza

600

Album mpya ya Adele, 25 inatarajiwa kuuza nakala milioni 3 nchini Marekani katika wiki yake ya kwanza kwa mujibu wa kampuni ya Nielsen Music.

600

Hadi November 24 album hiyo ilikuwa imeuza kopi milioni 2.8. Miongoni mwa hizo, milioni 1.45 zimeuzwa mtandaoni kwenye iTunes.

25 imeshazidi hadi rekodi ya mauzo ya album kwa wiki mbili tangu kampuni ya Nielsen ilivyoanza kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991.

Rekodi ya awali ilishikiliwa na album ya *NSYNC, No Strings Attached iliyouza kopi 2,416,000...

 

9 years ago

Bongo5

Navy Kenzo waeleza watakavyouza album yao ‘Above In A Minute’

Navykenzo

Kundi la Navy Kenzo limesema kuwa album yao ya kwanza iitwayo ‘Above In A Minute’ tayari imekamilika na wanatarajia kuitoa mwanzoni mwa mwaka ujao 2015.

navy2

Wakizungumza kupitia XXL ya Clouds FM, waimbaji wa kundi hilo Aika na Nahreel wamesema kuwa, watauza album yao katika mfumo wa Cd pamoja na online, lakini utaratibu utakaotumika utakuwa ni wa kuweka oda pekee.

“Ila itakuwa ni oda tu, hata kama ni online unafanya oda tu ukishalipia siku ikitoka unapewa ya kwako baada ya hapo itakuwa ni ngumu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani