Ben Pol: Aeleza sababu za kuuza albamu mtandaoni
Wakati wasanii wengine wakitoa albamu za Mixtape na kuziuza sokoni, wiki hii mwanamuziki wa R&B Bernald Paul maarufu Ben Pol ameachia wimbo wake mpya ‘Unanichora’, huku akifanya uamuzi mgumu wa kuiuza albamu yake mtandaoni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Ben Pol aeleza sababu zilizopelekea Avril kutoonekana kwenye video ya ‘Ningefanyaje’
Siku chache baada ya kuachia video ya wimbo wake – ‘NINGEFANYAJE’, muimbaji wa R&B kutoka Tanzania, Bernard Paul maarufu kama Ben Pol ameeleza sababu zilizopelekea muimbaji Avrilkutoka Kenya aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo, kutoonekana kwenye video hiyo anayoitaja kuwa kubwa kuliko video zote alizowahi kufanya.
Katika video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini, Ben Pol anaonekana akiimba na Rossie M ambaye pia ameshirikishwa kwenye wimbo huo huku mashabiki wakiisikia...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tUR-PG0K0g0/VoEID5rvUZI/AAAAAAAIO94/2huWdki3-yk/s72-c/48JwVIyK.jpeg)
MSANII BEN POL AELEZA SABABU ZILIZOPELEKEA AVRIL KUTOONEKANA KWENYE VIDEO YA 'NINGEFANYAJE'
![](http://3.bp.blogspot.com/-tUR-PG0K0g0/VoEID5rvUZI/AAAAAAAIO94/2huWdki3-yk/s640/48JwVIyK.jpeg)
Katika video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Afrika Kusini, Ben Pol anaonekana akiimba na Rossie M ambaye pia ameshirikishwa kwenye wimbo huo huku mashabiki wakiisikia...
9 years ago
Bongo519 Oct
Ben Pol aeleza kwanini alishindwa kumaliza chuo
9 years ago
Bongo509 Nov
Kuna chochote tutarajie baada ya Ben Pol kukutana na Patoranking Afrika Kusini? Ben Pol ana majibu…
![Ben SA-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ben-SA-1-300x194.jpg)
Safari ya Ben Pol Afrika Kusini imempa nafasi ya kukutana na mastaa wa Afrika ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa na ndoto za kuja kufanya nao kazi hapo baadae.
Ben Pol ambaye ameenda jijini Johannesburg kushoot video ya wimbo aliomshirikisha Avril na Rossie M, ambayo imefanyika jana, pia alipata nafasi ya kukutana na staa wa Nigeria, Patoranking.
Ben Pol na Patoranking
Baada ya kupost picha akiwa na staa huyo kwenye Instagram, mashabiki walianza kupata hisia kuwa huenda kuna...
9 years ago
Bongo528 Dec
Ben Pol Angefanyaje?: Aeleza kilichosababisha Avril kutoonekana kwenye video yake
![ben-avril](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/ben-avril-300x194.jpg)
Miongoni mwa vitu ambavyo mashabiki huvitarajia kwenye video za nyimbo za collabo ni kuwaona wasanii wote waliohusika kwenye video, kitu ambacho kwa Ben Pol hakikufanikiwa kwa asilimia zote kwenye video yake mpya.
Siku chache baada ya kuachia video ya wimbo wake ‘NINGEFANYAJE’, Ben Pol ameeleza sababu zilizopelekea muimbaji Avril kutoka Kenya aliyeshirikishwa kwenye wimbo huo, kutoonekana kwenye video hiyo anayoitaja kuwa kubwa kuliko video zote alizowahi kufanya.
Kwenye video hiyo...
9 years ago
Bongo513 Oct
Ben Pol aeleza kwanini hataki kuonekana na mpenzi wake kila wakati
9 years ago
Bongo519 Dec
Exclusive: Ben Pol aeleza kwanini alimuandikia Alikiba tweet iliyozua utata mkubwa!
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kiba-300x194.jpg)
Ben Pol amesema tweet ya utata aliyomuandikia Alikiba, alikusudia kumtumia kwenye ujumbe wa siri wa mtandao wa Twitter (DM) lakini akakosea na kuiweka wazi!
Juzi kupitia mtandao huo, Ben Pol alimuuliza Alikiba swali, “Bro @OfficialAliKiba mi naona kama unakuwa overrated halafu inakugharimu.. au Haikugharimu?”
Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa wasanii wamekuwa wakiambiana ukweli kuhusu muziki na maisha yao ili kuwekana sawa.
“Ile tweet kwanza nilikuwa nataka iende DM,” alisema.
“Unajua sisi...
10 years ago
Bongo527 Jul
Unataka kwenda international? Ben Pol aeleza pressure iliyopo kufanikisha hilo (Video)
9 years ago
Bongo530 Sep
Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi