Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi

Wakati wasanii wengi wakiogopa kuachia nyimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kuhofia kutopata muda wa kusikilizwa, Ben Pol ameeleza sababu zilizomfanya kutohofia kufanya hivyo. Ben Pol aliyeachia wimbo ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha msanii wa Kenya, Avril na Rossie M ametaja sababu tatu za kuachia wimbo huo. “Moja sina wimbo official tangia mwaka umeanza,” amesema Ben. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TASWILA BAADHI YA MADUKA YA KARIAKOO KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI

Baadhi ya maduka yaliyopo Kariakoo yakionekana kufungwa kupisha vuguvugu la uchaguzi mkuu. Maduka yaliyopo maeneo ya Msimbazi-Kariakoo yakiwa yamefungwa.…

 

9 years ago

Michuzi

J&M VIRGO WASHUSHA MALI MPYA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA SIKUKUU

 DUKA LA J&M VIRGO LIMEKUTELEA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA KWAKO WEWE MTANZANIA MWENYE KUPENDA KUTOKA KIJANJA KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA, MZIGO UMESHUKA JUZI TU TOKA MAJUU ILI UWEZE KUNG'AA KATIKA KIPINDI HIKI, WATEMBELEE  J&M VIRGO WENYE UHODARI WA KUUZA VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA KATIKA DUKA LAO LILILOPO PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA, JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA,  JIJI LA DAR ES SALAAM.
FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA...

 

9 years ago

Michuzi

BASATA YAONYA LUGHA CHAFU, MAADILI HUSUSAN KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi kulenga katika kuigawa jamii na kufifisha...

 

9 years ago

Vijimambo

UJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 25

Lucy Patrick
Kalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana kuliko wengine hapana  ni kwamba tuliaminiwa kwamba tunaweza kutumia midomo yetu na kalamu zetu katika kusema na kuandika ukweli ili tuweze kuelimisha,kutoa habari na hata kuburudisha ikiwezeekana naomba niwashauri tutumie karama zetu vizuri tuache ushabiki ambao hautakuwa na manufaa yeyote kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Mambo matano kuhusu wimbo mpya wa Ben Pol ‘Ningefanyaje’ ft. Avril anaotarajia kuuachia wiki Ijayo

Ben Pol anatarajia kuachia wimbo mpya ambao kamshirikisha mwimbaji wa Kenya, Avril ambaye walikutana hivi karibuni alipoenda Nairobi kwenye Coke Studio Africa. Ben Pol amepiga story na Bongo5 na hivi ni vitu vitano vya kufahamu kuhusu wimbo huo uitwao ‘Ningefanyaje’ 1.‘Ningefanyaje’ inakuwa ni official single ya pili kwa mwaka huu (2015) kutoka kwa Ben Pol […]

 

9 years ago

Bongo5

Q Chief kuachia wimbo mpya baada ya uchaguzi, unaitwa ‘Chawa’

Q-Chief amejipanga vizuri kuumaliza vizuri mwaka wa 2015 ambao umeonekana kuwa mwaka mzuri kwa upande wake, akiwa amefanikiwa kuachia video mbili kali alizoshoot Afrika Kusini na muongozaji wa Tanzania, Adam Juma. Katika kuumaliza mwaka Q-Chief amesema amejipanga kuachia wimbo mpya mwezi Novemba mara tu baada ya uchaguzi, na ameutaja wimbo anaotarajia kuja nao unaitwa ‘Chawa’. […]

 

9 years ago

Bongo5

Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi

Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani