Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi
Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Oct
Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25
11 years ago
Bongo512 Jul
Roma a-tease wimbo mpya anaotarajia kuachia, aliowashirikisha Mwana FA, Jay Moe na Mwasiti
9 years ago
Bongo508 Dec
Roma agwaya kutoa wimbo aliokuwa auachie siku ya uchaguzi
Unakumbuka siku kadhaa kabla ya uchaguzi Roma aliahidi kuwa angeachia wimbo mpya siku ya uchaguzi?
Hata hivyo wimbo huo haukutoka na alikaa kimya kwa wiki kibao kiasi ambacho mashabiki wake wakaanza kuwa na hofu.
Awali rapa huyo aliahidi kuukabidhi wimbo huo kwa BASATA kabla ya kuuachia. Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa aliamua kuachana na kazi hiyo ili kulinda sanaa yake.
“Wimbo niliotoa na Baghdad sio ile kazi ambayo niliahidi kutoa siku ya uchaguzi, kuna...
9 years ago
Bongo501 Oct
Q Chief kuachia wimbo mpya baada ya uchaguzi, unaitwa ‘Chawa’
9 years ago
Bongo530 Sep
Ben Pol ataja sababu 3 za kuachia wimbo mpya katika kipindi hiki cha uchaguzi
9 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma
9 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Wangechi kuachia wimbo mpya na Ne-Yo
NAIROBI, KENYA
MSANII wa muziki nchini Kenya, Wangechi Mutu, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao amefanya na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Ne-Yo.
Wimbo huo uliandaliwa tangu Agosti mwaka huu, hivyo unatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa wiki hii huku jina likitarajiwa kutajwa wakati wa utambulisho wa wimbo huo.
“Wimbo ulikuwa tayari muda mrefu, lakini mambo hayakuwa sawa, ila kwa sasa kila kitu kimekamilika na hii ni wiki ya kuachia ngoma hiyo, jina la wimbo litajulikana wakati wa...
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Rais Museveni kuachia wimbo mpya
KAMPALA, UGANDA
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ameupa jina la ‘Kwezi’ utakaokuwa unachangia shughuli za kampeni za uchaguzi.
Kwezi utakuwa ni wimbo wake wa tatu ndani ya miaka mitano mara baada ya kuachia wimbo wa Mpenkoni, ambao ulitumika sana katika kampeni za uchaguzi mwaka 2011.
Mpaka sasa rais huyo hajapanga siku ya kuuachia, lakini inasemekana ni siku za hivi karibuni kwa kuwa tayari amekaa na baadhi ya wataalamu wa muziki na kuupitia wimbo...