Roma a-tease wimbo mpya anaotarajia kuachia, aliowashirikisha Mwana FA, Jay Moe na Mwasiti
Miezi michache iliyopita Roma aliahidi kubadilisha mfumo aliokuwa akiutumia wa kutoa wimbo mmoja kwa mwaka, na kusema sasa ataanza utaratibu wa kutoa wimbo zaidi ya mmoja kwa mwaka ili kukata kiu ya mashabiki wake. Ahadi hiyo aliitoa wakati anaachia single yake ya ‘KKK’ mwezi March mwaka huu. Rapper huyo kutoka Tanga anaelekea kutimiza ahadi yake […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL15 May
9 years ago
Bongo508 Oct
Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi
9 years ago
Bongo524 Oct
Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia kesho siku ya uchaguzi Oct.25
9 years ago
Bongo526 Nov
Jay Moe kuachia ‘Hili Game’ Ijumaa hii
![Jaymoe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Jaymoe-300x194.jpg)
Jay Moe ataachia wimbo mpya uitwao ‘Hili Game.’ Huo utakuwa wimbo wa kwanza kuutoa tangu aachie wimbo miaka minne iliyopita.
Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Jay Moe alisema wimbo huo umetayarishwa na P-Funk Majani.
“Mungu akipenda Ijumaa itakuwa birthday tunaweza tukaachia wimbo wangu wa kwanza Jay Mo baada ya miaka 4,” alisema.
“Wimbo unaitwa ‘Hili Game’ na utakuwa muda mzuri kwa sababu nimeelezea muziki ulipotokea mpaka ulipo sasa. Zamani ilivyokuwa na ugumu wake. Kwahiyo vitu kama...
10 years ago
Bongo521 Jan
Video: Mwana FA na AY wa-tease ngoma mpya
9 years ago
Bongo519 Sep
Mambo matano kuhusu wimbo mpya wa Ben Pol ‘Ningefanyaje’ ft. Avril anaotarajia kuuachia wiki Ijayo
9 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Wangechi kuachia wimbo mpya na Ne-Yo
NAIROBI, KENYA
MSANII wa muziki nchini Kenya, Wangechi Mutu, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao amefanya na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Ne-Yo.
Wimbo huo uliandaliwa tangu Agosti mwaka huu, hivyo unatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa wiki hii huku jina likitarajiwa kutajwa wakati wa utambulisho wa wimbo huo.
“Wimbo ulikuwa tayari muda mrefu, lakini mambo hayakuwa sawa, ila kwa sasa kila kitu kimekamilika na hii ni wiki ya kuachia ngoma hiyo, jina la wimbo litajulikana wakati wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lO1nR1WSZXvwcdj99TuuPqxi18MC2wwICQqN7c6Rs1jmUfyu-xLyvbnjg93J25kgBhKSwXWhT6L8jzTJOi16f0xb8TOa5C5-/amini80.jpg)