Video: Mwana FA na AY wa-tease ngoma mpya
Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA na swahiba wake Ambwene Yessaya a.k.a AY wame tease ngoma mpya ambayo ni ishara ya ujio wao wa 2015. FA ambaye hivi karibuni ameachia video ya ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba na kufanyika Kenya, ameshare video wakiwa studio za MJ na AY huku ikisikika sauti ya ngoma mpya, na kuandika “2015….myyyyyyyyyyy […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Jul
Roma a-tease wimbo mpya anaotarajia kuachia, aliowashirikisha Mwana FA, Jay Moe na Mwasiti
9 years ago
Bongo526 Nov
Picha: Jux aanza ku-tease video mpya ‘One More Night’ aliyoshoot na Justin Campos
![Jux - onemorenight-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Jux-onemorenight-2-300x194.jpg)
Baada ya Vanessa Mdee kuachia video ya ‘Never Ever’ mwezi uliopita, Jux naye ameanza ku-tease wimbo wake mpya, ikiwa ni ishara kuwa muda si mrefu anaweza kuachia kazi nyingine baada ya ‘Looking For You’.
Moja ya picha za video hiyo
Kwa wiki mbili sasa Jux amekuwa aki-tease picha (screenshot) za video ya wimbo huo, huku akiweka hashtag ‘ONE MORE NIGHT’ kuashiria ndio jina la wimbo.
Kwenye picha hizo ameandika captions hizi:
-Natamani tusingefanya I need #onemorenight
-Nilionja sijashiba...
9 years ago
Bongo517 Nov
Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA
![12120321_1140272202668159_944774289_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12120321_1140272202668159_944774289_n-300x194.jpg)
Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.
Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:
Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J
— Hermy B (@HermyB1)...
11 years ago
Michuzi25 Jul
9 years ago
Bongo521 Dec
Mwana FA ataja sababu kuu za kwanini amekuwa akitoa ngoma chake kwa mwaka (Video)
![12301206_416545988542834_2103460087_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301206_416545988542834_2103460087_n-1-300x194.jpg)
Mwana FA si mtu wa kutoa nyimbo nyingi kwa mwaka. Kwanini? Hizi ni sababu tatu alizozitoa baada ya kukaa na kuzungumza na sisi.
“Naona sina vitu vingi vya kuprove. Kwasababu kama mtu amefika mahali sasa hivi haamini kama nina uwezo, nitakuwa sina uwezo tena wa kumbadilisha,” amesema Mwana FA.
“Muziki mzuri unahitaji muda. Mimi nisharekodi ngoma inakaa mwaka mzima, baadaye tukija tukitaka kuitoa tunakuja tunarekodi tena. Nisharekodi ngoma mara nne kama Kama Zamani ile. Na nafikiri hili...
9 years ago
Bongo507 Nov
Mwana FA kwenda Afrika Kusini kushoot video ya wimbo mpya
![FA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/FA-300x194.jpg)
Mwana Fa ni miongoni mwa wasanii waliositisha kazi zao za muziki ili kupisha mambo ya kampeni pamoja na uchaguzi, na sasa baada ya hayo yote kumalizika yuko tayari kurejea kwenye uwanja wake wa kujidai, yaani muziki.
Binamu amesema kuwa ana kazi nyingi ambazo amezifanya na anaendelea kufanya zingine, “Kweli nina kazi wala sio kazi moja wala sio kazi mbili, yani nina kazi kadhaa na wiki ijayo narekodi nyingine,” aliiambia Planet Bongo ya East Africa Radio. “ lakini haya mambo ya uchaguzi...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Ali Kiba azindua Video yake mpya “MWANA” kua wa kwanza kuiona hapa
Akiwa ana nyimbo za “Mwana” na “Kimasomaso” zikiongoza katika vituo mbali mbali Africa, Alikiba aachia video ya “Mwana” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu jana ,Ijumaa tarehe 19 Decemba 2014 kwa mamilioni ya mashabiki Africa na duniani. “Mwana” ni nyimbo ya kwanza baada ya kufunga mkataba wake na kampuni ya Rockstar4000 Management na Rockstar Publishing.
Rekodi ya “Mwana” ni nyimbo ya kwanza kutoka kwenye albamu ya tatu ya Alikiba baada ya kutokuwa katika muziki kwa muda wa miaka mitatu....