Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA
Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.
Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:
Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J
— Hermy B (@HermyB1)...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo521 Jan
Video: Mwana FA na AY wa-tease ngoma mpya
9 years ago
Bongo501 Dec
Hermy B na Pancho kumleta Mwana FA na ‘Asanteni Kwa Kuja’
![12298952_951039554970796_1769017982_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12298952_951039554970796_1769017982_n1-300x194.jpg)
Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit!
Uzikumbuka ‘Habari Ndio Hiyo’, ‘Bado Nipo Nipo’, ‘Naongea Na Wewe’, ‘Msiache Kuongea’ , ‘Naona Nazeeka Sasa’ na ‘Nangoja Ageuke?’ Hizi zote zilipigwa nwa Hermy B kwenye studio za B’Hits na sasa wawili hao wanakuletea ‘Asanteni Kwa Kuja.’
FA ambaye amekuwa kimya tangu aachie ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili za kuja kuwa gumzo kama zilivyo ngoma zake nyingi.
Hermy B...
9 years ago
Bongo502 Jan
Video: Mwana FA aeleza alivyorudisha uswahiba wake na Hermy B
![12357603_1543644989260447_736222952_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/12357603_1543644989260447_736222952_n-300x194.jpg)
Mwana FA na Hermy B walirejea tena mwishoni kabisa mwa mwaka jana na kuungana pamoja kutayarisha wimbo ‘Asanteni kwa Kuja.’
Hiyo ilikuwa ni baada ya takriban miaka miwili waliyokaa bila kufanya kazi.
“Unajua kuna wakati mwingine haijalishi wewe na mimi hatuko poa lakini mnajikuta mko katika eneo moja pengine kwenye maisha yenu ya kila siku, starehe, kazi ama nini,” amesema FA kuhusu walivyopatana tena na mtayarishaji huyo.
“Na tukagundua kwamba in personal level hakukuwa na tatizo,...
11 years ago
Michuzi25 Jul
10 years ago
Bongo520 Oct
Video: Hermy B awataja Fid Q, Professor Jay na Mwana FA kuwa ndio waandishi bora Tanzania
9 years ago
Bongo527 Aug
AY awachukua Hermy B na Marco Chali kwenye mradi mpya
11 years ago
CloudsFM29 May
MWANA FA AIZUNGUMZIA NGOMA YA “AMINIA” ALIYOIFANYA NA MANGWEA
Albert Mangwea ni miongoni mwa wasanii waliowahi kushirikishwa katika ‘collabo’ kubwa zilizofanya vizuri kwenye chati za muziki wa Bongo Flava.
Miongoni mwa wasanii waliowahi kushirikiana na Albert ni pamoja na msanii Mwana FA hapa anafunguka anachokumbuka siku waliyo record aminia pale Mawingu Studios kwa Dj Bonny Luv.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/U0faca4PGo8/default.jpg)
9 years ago
Bongo521 Dec
Mwana FA ataja sababu kuu za kwanini amekuwa akitoa ngoma chake kwa mwaka (Video)
![12301206_416545988542834_2103460087_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301206_416545988542834_2103460087_n-1-300x194.jpg)
Mwana FA si mtu wa kutoa nyimbo nyingi kwa mwaka. Kwanini? Hizi ni sababu tatu alizozitoa baada ya kukaa na kuzungumza na sisi.
“Naona sina vitu vingi vya kuprove. Kwasababu kama mtu amefika mahali sasa hivi haamini kama nina uwezo, nitakuwa sina uwezo tena wa kumbadilisha,” amesema Mwana FA.
“Muziki mzuri unahitaji muda. Mimi nisharekodi ngoma inakaa mwaka mzima, baadaye tukija tukitaka kuitoa tunakuja tunarekodi tena. Nisharekodi ngoma mara nne kama Kama Zamani ile. Na nafikiri hili...