Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANA FA AIZUNGUMZIA NGOMA YA “AMINIA” ALIYOIFANYA NA MANGWEA

Albert Mangwea ni miongoni mwa wasanii waliowahi kushirikishwa katika ‘collabo’ kubwa zilizofanya vizuri kwenye chati za muziki wa Bongo Flava.Miongoni mwa wasanii waliowahi kushirikiana na Albert ni pamoja na msanii Mwana FA hapa anafunguka anachokumbuka siku waliyo record aminia pale Mawingu Studios kwa Dj Bonny Luv.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Mwana FA na AY wa-tease ngoma mpya

Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA na swahiba wake Ambwene Yessaya a.k.a AY wame tease ngoma mpya ambayo ni ishara ya ujio wao wa 2015. FA ambaye hivi karibuni ameachia video ya ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba na kufanyika Kenya, ameshare video wakiwa studio za MJ na AY huku ikisikika sauti ya ngoma mpya, na kuandika “2015….myyyyyyyyyyy […]

 

9 years ago

Bongo5

Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA

12120321_1140272202668159_944774289_n

Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.

12120321_1140272202668159_944774289_n

Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:

Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J

— Hermy B (@HermyB1)...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA ataja sababu kuu za kwanini amekuwa akitoa ngoma chake kwa mwaka (Video)

12301206_416545988542834_2103460087_n

Mwana FA si mtu wa kutoa nyimbo nyingi kwa mwaka. Kwanini? Hizi ni sababu tatu alizozitoa baada ya kukaa na kuzungumza na sisi.

“Naona sina vitu vingi vya kuprove. Kwasababu kama mtu amefika mahali sasa hivi haamini kama nina uwezo, nitakuwa sina uwezo tena wa kumbadilisha,” amesema Mwana FA.

“Muziki mzuri unahitaji muda. Mimi nisharekodi ngoma inakaa mwaka mzima, baadaye tukija tukitaka kuitoa tunakuja tunarekodi tena. Nisharekodi ngoma mara nne kama Kama Zamani ile. Na nafikiri hili...

 

11 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI YAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO (RIP)

 Tumepokea kwa huzuni tele na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani  inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu. Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi...

 

9 years ago

MillardAyo

Shilole mpaka Nigeria? kayazungumza haya kuhusu collabo aliyoifanya na msanii wa Nigeria…

Headlines za Dec 28 zinakwenda kwa Shilole ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa nchini Nigeria kwaajili ya show yake akiwa na Feza Kessy & Lina Sanga, sasa msanii huyo baada ya kurudi Tanzania amefanya exclusive interview na ripota wa millardayo.com kufunguka kuhusu collabo aliyoifanya nchini Nigeria. ‘Nilikuwa niko Nigeria kwaajili ya kufanya show na kutafuta connection […]

The post Shilole mpaka Nigeria? kayazungumza haya kuhusu collabo aliyoifanya na msanii wa Nigeria… appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Barack Obama aizungumzia Iraq

Rais Obama amesema awamu ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya kuandaa serikali ya pamoja na yenye kuaminika nchini Iraq.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani