NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI YAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO (RIP)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ijjA2qLKNfY/U0q0WmQnqwI/AAAAAAAFafI/LfNZMZHyhP0/s72-c/unnamed+(15).jpg)
Tumepokea kwa huzuni tele na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania.
Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu.
Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9YD28cV0ItU/U0uhy__e2bI/AAAAAAAFakI/BBwqLCxMeJk/s72-c/basata_logo.jpg)
basata yaomboleza kifo cha muhidin maalim gurumo
![](http://3.bp.blogspot.com/-9YD28cV0ItU/U0uhy__e2bI/AAAAAAAFakI/BBwqLCxMeJk/s1600/basata_logo.jpg)
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote...
11 years ago
Michuzi13 Apr
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwanamuziki mkongwe Tanzania Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia
Mwimbaji Mkongwe wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidin Maalim Gurumo (pichani) amefariki Dunia leo jijini Dar katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Hivi karibuni Marehemu Muhidini Gurumo alitangaza kustaafu muziki baada ya afya ya kutetereka na kuamua kupumzika hadi mauti yalipomfika.
MOblog inaunga na familia ya marehemu, watanzania wote pamoja na mashabiki wake kuomboleza kifo chake.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema Peponi Amen.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D2cu_3Uv5A4/VQN3cjSoyWI/AAAAAAAHKLg/NRljhGkWhjA/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE Katika Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015 MJINI STUTTGART, UJERUMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-D2cu_3Uv5A4/VQN3cjSoyWI/AAAAAAAHKLg/NRljhGkWhjA/s1600/Ngoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
Bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho hilo limeandaliwa na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu kama " Extraordinary Bongo...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9MkFJ-V5VVM/U5kL7B5OnYI/AAAAAAAFp5E/0CB0cNxyzEs/s72-c/unnamed+(94).jpg)
Ngoma Africa Band watingisha mji wa Dortmund,Ujerumani
![](http://3.bp.blogspot.com/-9MkFJ-V5VVM/U5kL7B5OnYI/AAAAAAAFp5E/0CB0cNxyzEs/s1600/unnamed+(94).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yu2oHodFNwM/U5kL7caYdnI/AAAAAAAFp5Y/kaI6BhQq92E/s1600/unnamed+(95).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-E6CCUfN1pbY/U5kL7WfK49I/AAAAAAAFp5I/UBtMFAiC2m0/s1600/unnamed+(96).jpg)
11 years ago
GPLNGOMA AFRICA BAND WAMEUTINGISHA MJI WA DORTMUND,UJERUMANI
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
BASATA yaomboleza kifo cha msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga
Marehemu Shem Ibrahim Kalenga enzi za uhai wake.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Shem Ibrahim Kalenga ambaye mchango wake katika muziki wa Dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jZMPJeS73hg/Vep82vVrXTI/AAAAAAAH2cs/NUiok-GjrFc/s72-c/unnamed%2B%252890%2529.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL, UJERUMANI, LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-jZMPJeS73hg/Vep82vVrXTI/AAAAAAAH2cs/NUiok-GjrFc/s640/unnamed%2B%252890%2529.jpg)