AY awachukua Hermy B na Marco Chali kwenye mradi mpya
AY amewachukua Hermy B na Marco Chali kutengeneza ngoma yake mpya. AY akiwa studio na producer wa B’Hits, Hermy B na producer wa MJ Records, Marco Chali AY ameshare picha hiyo juu akiwa studio na watayarishaji hao wakubwa nchini wanaowakilisha studio maarufu zaidi, Hermy B wa B’Hits na Marco Chali wa MJ Records. Hiyo itakuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Linex alia na Marco Chali
MSANII mwenye sauti ya pekee, Sunday Mangu ‘Linex’ au ‘Leka Maker’, amemlalamikia mtayarishaji wa muziki, Marco Chali kupitia studio ya Kama Kawa Production, kwa kusambaza wimbo wake unaojulikana kwa jina...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_yeaw-ftCqU/default.jpg)
9 years ago
Bongo517 Nov
Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA
![12120321_1140272202668159_944774289_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12120321_1140272202668159_944774289_n-300x194.jpg)
Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.
Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:
Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J
— Hermy B (@HermyB1)...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6CSdbFusXM8/default.jpg)
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mradi DART wapata nguvu mpya
MRADI wa mabasi yaendayo haraka umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri itakayofanya kazi ya kupatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu....