Mkasi | SO9E18 With Hermy B
![](http://img.youtube.com/vi/6CSdbFusXM8/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Jan
9 years ago
Bongo517 Nov
Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA
![12120321_1140272202668159_944774289_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12120321_1140272202668159_944774289_n-300x194.jpg)
Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.
Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:
Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J
— Hermy B (@HermyB1)...
9 years ago
Bongo501 Dec
Hermy B na Pancho kumleta Mwana FA na ‘Asanteni Kwa Kuja’
![12298952_951039554970796_1769017982_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12298952_951039554970796_1769017982_n1-300x194.jpg)
Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit!
Uzikumbuka ‘Habari Ndio Hiyo’, ‘Bado Nipo Nipo’, ‘Naongea Na Wewe’, ‘Msiache Kuongea’ , ‘Naona Nazeeka Sasa’ na ‘Nangoja Ageuke?’ Hizi zote zilipigwa nwa Hermy B kwenye studio za B’Hits na sasa wawili hao wanakuletea ‘Asanteni Kwa Kuja.’
FA ambaye amekuwa kimya tangu aachie ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili za kuja kuwa gumzo kama zilivyo ngoma zake nyingi.
Hermy B...
9 years ago
Bongo502 Jan
Video: Mwana FA aeleza alivyorudisha uswahiba wake na Hermy B
![12357603_1543644989260447_736222952_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/12357603_1543644989260447_736222952_n-300x194.jpg)
Mwana FA na Hermy B walirejea tena mwishoni kabisa mwa mwaka jana na kuungana pamoja kutayarisha wimbo ‘Asanteni kwa Kuja.’
Hiyo ilikuwa ni baada ya takriban miaka miwili waliyokaa bila kufanya kazi.
“Unajua kuna wakati mwingine haijalishi wewe na mimi hatuko poa lakini mnajikuta mko katika eneo moja pengine kwenye maisha yenu ya kila siku, starehe, kazi ama nini,” amesema FA kuhusu walivyopatana tena na mtayarishaji huyo.
“Na tukagundua kwamba in personal level hakukuwa na tatizo,...
9 years ago
Bongo527 Aug
AY awachukua Hermy B na Marco Chali kwenye mradi mpya
9 years ago
Bongo515 Dec
Huyu ndiye aliyesaidia kurejea kwa urafiki wa Hermy B na AY & FA
![12301206_416545988542834_2103460087_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301206_416545988542834_2103460087_n-300x194.jpg)
Hermy B na Mwana FA wameingia tena studio baada ya miaka mingi kutofanya hivyo na kuachia wimbo mpya ‘Asanteni kwa Kuja.’
Hivi karibuni pia AY na Hermy B wamekuwa karibu zaidi kama ilivyokuwa zamani baada ya kutokea kutokuelewana mwaka 2012 kulikodumu kwa miaka miwili.
Hata hivyo Mwana FA jana alimtaja mtu aliyesaidia kuwapatanisha. Ni Josh Murunga, producer wa kipindi cha Mkasi.
Akiongea kwenye XXL ya Clouds FM, FA alisema Josh aliwasihi maswahiba hao kuziacha tofauti zao na warejeshe...
10 years ago
Bongo520 Oct
Video: Hermy B awataja Fid Q, Professor Jay na Mwana FA kuwa ndio waandishi bora Tanzania
9 years ago
MillardAyo31 Dec
TBT:Picha 8 za Rais Magufuli , Izzo B , Linex, Nikki wa pili, Hermy B, Ben Pol, Rose Ndauka enzi hizo…
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg […]
The post TBT:Picha 8 za Rais Magufuli , Izzo B , Linex, Nikki wa pili, Hermy B, Ben Pol, Rose Ndauka enzi hizo… appeared first on...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/aMIH-YeQYHM/default.jpg)