Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hermy B na Pancho kumleta Mwana FA na ‘Asanteni Kwa Kuja’

12298952_951039554970796_1769017982_n

Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit!

12298952_951039554970796_1769017982_n

Uzikumbuka ‘Habari Ndio Hiyo’, ‘Bado Nipo Nipo’, ‘Naongea Na Wewe’, ‘Msiache Kuongea’ , ‘Naona Nazeeka Sasa’ na ‘Nangoja Ageuke?’ Hizi zote zilipigwa nwa Hermy B kwenye studio za B’Hits na sasa wawili hao wanakuletea ‘Asanteni Kwa Kuja.’

FA ambaye amekuwa kimya tangu aachie ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili za kuja kuwa gumzo kama zilivyo ngoma zake nyingi.

Hermy B...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hutobashiri staa aliyempa Mwana FA idea ya chorus ya ‘Asanteni kwa Kuja’

12298952_951039554970796_1769017982_n

Mwana FA amemtaja mtu aliyemsaidia kumpa idea ya chorus ya wimbo wake mpya ‘Asanteni kwa Kuja.’

12277548_1032344053484486_847392172_n
Mwana FA akiwa na P-Funk Majani na Hermy B

Mtu huyo si mwingine bali ni P-Funk Majani. “Mimi nilikuwa na jina la wimbo,” FA ameiambia Bongo5.

“Nikaenda na sampling mpaka kwa Hermy, tumekaa nje kwa Sallam meneja wa Diamond, Hermy akatengeneza beat, jamaa wanacheza ile foosball na akina Ambwene, tumekaa mimi na Hermy akatengeneza beat hapo hapo nje. Kwahiyo mimi nikawa nayo, jina la wimbo ninalo na...

 

9 years ago

MillardAyo

Mabibi na mabwana… imeletwa kwenu video mpya ya MwanaFA ‘asanteni kwa kuja’

Audio iliachiwa toka December 2015 ila leo kazi ni kwetu kuitazama video…. imefanyika Afrika Kusini, ndiyo hii hapa chini unaweza kuitazama kisha tuachie comment yako FA akipita ajue watu wake wamemuandikia nini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Mabibi na mabwana… imeletwa kwenu video mpya ya MwanaFA ‘asanteni kwa kuja’ appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Mwana FA – Asanteni kwa Kuja

12298952_951039554970796_1769017982_n

Hii ni ngoma mpya ya Mwana FA ‘Asanteni kwa Kuja’ iliyotayarishwa na Hermy B.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Mwana FA – Asanteni Kwa Kuja

fa asanteni

Foleni kubwa ya wasanii kuachia video zao mwisho wa mwaka jana 2015, yaweza kuwa sababu iliyomfanya Mwana FA aishikilie video yake kwa muda hadi baada ya mwaka mpya licha ya kukamilika mapema.

fa asanteni

‘Asanteni kwa kuja’ ni wimbo mpya wa rapper Mwana FA aka Binamu alioutoa mwishoni mwa mwaka jana na kwenda Afrika Kusini kushoot video yake.

Sasa the wait is over, na tayari Binamu ameachia video hiyo iliyoongozwa na Alessio Bettocchi wa kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini. Itazame...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: MWANA FA - ASANTENI KWA KUJA (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Africanjam.Com

GET READY FOR THE GOOD MUSIC: MWANA FA - ASANTENI KWA KUJA (Coming Soon)


Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA

12120321_1140272202668159_944774289_n

Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.

12120321_1140272202668159_944774289_n

Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:

Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J

— Hermy B (@HermyB1)...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mwana FA aeleza alivyorudisha uswahiba wake na Hermy B

12357603_1543644989260447_736222952_n

Mwana FA na Hermy B walirejea tena mwishoni kabisa mwa mwaka jana na kuungana pamoja kutayarisha wimbo ‘Asanteni kwa Kuja.’

Hiyo ilikuwa ni baada ya takriban miaka miwili waliyokaa bila kufanya kazi.

“Unajua kuna wakati mwingine haijalishi wewe na mimi hatuko poa lakini mnajikuta mko katika eneo moja pengine kwenye maisha yenu ya kila siku, starehe, kazi ama nini,” amesema FA kuhusu walivyopatana tena na mtayarishaji huyo.

“Na tukagundua kwamba in personal level hakukuwa na tatizo,...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Hermy B awataja Fid Q, Professor Jay na Mwana FA kuwa ndio waandishi bora Tanzania

Producer na CEO wa B’Hits Music Group, Hermy B, amewataja Fareed Kubanda aka Fid, Joseph Haule aka Professor Jay na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kuwa ndio waandishi bora wa mashairi Tanzania. Hermy aliwataja rappers hao kwenye kipindi cha Mkasi baada ya kuulizwa na Salama Jabir ni wasanii gani anaowakubali zaidi kwa uandishi wao. Mtazame […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani