Video: Hermy B awataja Fid Q, Professor Jay na Mwana FA kuwa ndio waandishi bora Tanzania
Producer na CEO wa B’Hits Music Group, Hermy B, amewataja Fareed Kubanda aka Fid, Joseph Haule aka Professor Jay na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kuwa ndio waandishi bora wa mashairi Tanzania. Hermy aliwataja rappers hao kwenye kipindi cha Mkasi baada ya kuulizwa na Salama Jabir ni wasanii gani anaowakubali zaidi kwa uandishi wao. Mtazame […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Jul
Picha:Professor Jay aanza ku-shoot video ya ‘Kipi Sijasikia’ ,P-Funk kuwa hakimu
9 years ago
Bongo502 Jan
Video: Mwana FA aeleza alivyorudisha uswahiba wake na Hermy B
![12357603_1543644989260447_736222952_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/12357603_1543644989260447_736222952_n-300x194.jpg)
Mwana FA na Hermy B walirejea tena mwishoni kabisa mwa mwaka jana na kuungana pamoja kutayarisha wimbo ‘Asanteni kwa Kuja.’
Hiyo ilikuwa ni baada ya takriban miaka miwili waliyokaa bila kufanya kazi.
“Unajua kuna wakati mwingine haijalishi wewe na mimi hatuko poa lakini mnajikuta mko katika eneo moja pengine kwenye maisha yenu ya kila siku, starehe, kazi ama nini,” amesema FA kuhusu walivyopatana tena na mtayarishaji huyo.
“Na tukagundua kwamba in personal level hakukuwa na tatizo,...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6XTbtN2jNM8/default.jpg)
10 years ago
Bongo522 Aug
Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)
10 years ago
Bongo514 Sep
Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay
10 years ago
Bongo514 Sep
Picha: Uzinduzi wa video mbili za Professor Jay
9 years ago
Bongo517 Nov
Hermy B anatayarisha ngoma mpya ya Mwana FA
![12120321_1140272202668159_944774289_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12120321_1140272202668159_944774289_n-300x194.jpg)
Si AY na Hermy B tu ndio wamerejesha kwa kasi uswahiba wao kiasi cha kuonekana mara kibao wakiwa pamoja studio hadi hivi karibuni kwenda pamoja Lagos, Nigeria.
Hermy B aliyetengeneza hits za FA ikiwemo ‘Bado Nipo Nipo’ anatengeneza ngoma mpya ya Mwana FA. Hermy ambaye ni mwanzilishi wa studio za B’Hits ametweet kwa kuandika:
Kwa wale wanaojua zaidi yangu…nitumie compressor ipi ili sauti ya @MwanaFA isikike vizuri kwenye ngoma yake mpya? pic.twitter.com/IwnFKYsJ5J
— Hermy B (@HermyB1)...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s72-c/unnamed.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s1600/unnamed.jpg)
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...