Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndio mzee Professor jay ft Juma nature ulikuwa wapo wimbo huu ukitamba?

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Juma Nature: Kwenda international ndio nini?

Juma Nature amesema hana haraka ya kwenda kimataifa kwa kudai bado ana muda wa kutosha kwenda huko. Nature anadai kuwa bado anajichukulia kama msanii mchanga mwenye kipaji cha ajabu. “Hizo ni plan zangu baadaye sio sasa hivi,” Nature ameiambia Bongo5. “Mimi sifanyagi kitu kwa kuiga, kwa sababu mimi sio underground na nina jina la kutosha […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Inspector Haroun Ft Juma Nature — Mungu Ndio Anapanga

Wimbo mpya kutoka kwa Inspector Haroun amemshirikisha Juma Nature, unaitwa “Mungu Ndio Anapanga” na umetengenezwa na Poroducer Dupy Studio Uprise Music.

 

10 years ago

Vijimambo

Professor Jay kapita kura za maoni Ubunge huu hapa

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Jimbo la mikumi Morogoro.
Sasa leo Agosti 7, 2015 amekutana na ripota wa TZA na kupiga naye stori kuhusiana na mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyofanyika.
‘Namshukuru Mungu kura za maoni zimeenda vizuri, niwapongezi tu watu wa CHADEMA kwa kutimiza demokrasia na tuliweza kupga kura na nimeweza kuibuka...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Hermy B awataja Fid Q, Professor Jay na Mwana FA kuwa ndio waandishi bora Tanzania

Producer na CEO wa B’Hits Music Group, Hermy B, amewataja Fareed Kubanda aka Fid, Joseph Haule aka Professor Jay na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kuwa ndio waandishi bora wa mashairi Tanzania. Hermy aliwataja rappers hao kwenye kipindi cha Mkasi baada ya kuulizwa na Salama Jabir ni wasanii gani anaowakubali zaidi kwa uandishi wao. Mtazame […]

 

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma atoa ushauri wa bure kwa ma-director: Ubunifu ndio utakaotuokoa katika ukame huu

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma ametumia akaunti yake Instagram kutoa ushauri wa bure kwa waongozaji wenzake.

Adam Jumaa

Hiki ndicho ameandika Adam:

“Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna media itakayokuokoa katika ukame wa kazi utakapo wasili. Sifa hujenga kiburi akili hujenga ustaarabu, mafanikio yako yapo mkononi mwako- hata wakishot mbinguni isiwe sababu ya ww kuacha na kutoipenda kazi yako. Simama kwenye mstari na ujiamini, usishindane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani