Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adam Juma atoa ushauri wa bure kwa ma-director: Ubunifu ndio utakaotuokoa katika ukame huu

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma ametumia akaunti yake Instagram kutoa ushauri wa bure kwa waongozaji wenzake.

Adam Jumaa

Hiki ndicho ameandika Adam:

“Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna media itakayokuokoa katika ukame wa kazi utakapo wasili. Sifa hujenga kiburi akili hujenga ustaarabu, mafanikio yako yapo mkononi mwako- hata wakishot mbinguni isiwe sababu ya ww kuacha na kutoipenda kazi yako. Simama kwenye mstari na ujiamini, usishindane...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Justin Campos atoa ushauri kwa ma-director wa Tanzania, asema anamkubali zaidi Hanscana

justin2

Justin Campos ni jina linalotajwa sana kwa sasa linapokuja swala ya video za muziki. Huyu ni muongozaji wa video kutoka Afrika Kusini ambaye alianza kufahamika zaidi Tanzania baada ya kufanya kazi na Vanessa Mdee ‘No Body But Me’.

justin2

Kupitia kampuni yake ya Gorilla Films, Justin na mke wake Candice Campos ambaye pia ni producer wa video wamefanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania hadi sasa, na kuna wengine wanaendelea kuwatafuta ili wafanye kazi.

Katika mahojiano Exclusive na Bongo5, Justin...

 

9 years ago

Mwananchi

PETRONILLAH NYAMSISA : Ubunifu ndio msingi katika ujasiriamali

Katika kuperuzi kwangu mtandao wa intanet, nakutana na bidhaa zenye nembo ya Petit. Bidhaa hizi zilizofungashwa vizuri zinajumuisha mbogamboga, matunda, nafaka lakini hata nyama, samaki na mayai.

 

10 years ago

Bongo5

Adam Juma ampongeza Izzo Bizness kwa kutaja gharama halisi aliyotumia kwenye video ya ‘Walala hoi’, M 1.4

Director Adam Juma wa kampuni ya Visual lab/Next Level, amempongeza rapper wa Mbeya Izzo Bizness na director wake Nick Dizzo kwa kutaja gharama halisi waliyotumia kushoot video ya ‘Walala hoi’ ambayo Izzo amesema ni shilingi milioni 1 na laki 4 tu. “Video ni milioni 1 na laki 4 na Nick hapo tumemlipa kila kitu” Izzo […]

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWAPONGEZA KISARAWE KWA UBUNIFU WA TAMASHA LA MAMA LISHE, ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WOTE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, ameipongeza Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa kuandaa Tamasha la Mama Lishe ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa mama lishe katika kuleta maendeleo.

Jafo ametumia nafasi hiyo kuwataka wakurugenzi wa halmashiri zote nchini ambao wataoshindwa kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana watachukuliwa hatua ikiwemo ya kutumbuliwa.
Akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

Ushauri wa Bure Kwa Ali Kiba Baada ya Kutoa Wimbo Mpya, Tafuta Watu wa Kukutungia Nyimbo

Anyways, leo nimepata chance ya kusikiliza nyimbo mpya ya Ali Kiba fasta fasta….I like Ali Kiba’s music but I think he needs to grow kimuziki. Mie naona toka arudi kwenye gemu nyimbo zake zimeshuka kiwango sio nzuri kama za zamani… Au labda tuseme yani nyimbo zake zote ni vile vile yani hazina tofauti.Yani they sound identical.Anabadilisha vitu vidogo vidogo sana…… Nyimbo zake za zamani zilikuwaga nzuri sana , ila pia yawezekana za sasa hivi zinaoneka sio nzuri sababu zimefanana na za...

 

5 years ago

Bongo5

Nina huu ushauri kwa Rais Magufuli – Hamorapa

Harmorapa amefunguka na nia ya kutoa ushauri kwa Rais Magufuli juu ya mambo ambayo angependa kuona Rais anayafanyia kazi.

Harmorapa akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amemshauri Rais Magufuli kuboresha zaidi miundombinu.

“Rais Magufuli unajua yeye ndiye mwenye nchi sasa, hivyo mimi namuomba aboreshe zaidi suala la miundombinu natambua amefanya mambo mengi na makubwa kwenye sekta hiyo ila aboreshe zaidi, lakini pia namuomba Rais Magufuli aendelee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani