Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nina huu ushauri kwa Rais Magufuli – Hamorapa

Harmorapa amefunguka na nia ya kutoa ushauri kwa Rais Magufuli juu ya mambo ambayo angependa kuona Rais anayafanyia kazi.

Harmorapa akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amemshauri Rais Magufuli kuboresha zaidi miundombinu.

“Rais Magufuli unajua yeye ndiye mwenye nchi sasa, hivyo mimi namuomba aboreshe zaidi suala la miundombinu natambua amefanya mambo mengi na makubwa kwenye sekta hiyo ila aboreshe zaidi, lakini pia namuomba Rais Magufuli aendelee...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAGLA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUSITISHA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU 2020

Meneja Mafunzo kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika akizungumza na Michuzi Tv baada ya kumalizika mkutano kwa Njia ya Mtandao uliohusisha nchi  mbalimbali kuhusu Virusi vya Corona leo jijini Dar es Salaam,ambapo amempongeza  Rais Magufuli  kwa kusitisha mbio za Mwenge mwaka huu mpaka pale hali ya tatizo la Virusi vya Corona litakapopatiwa ufumbuzi huku bajeti ya Mwenge akiagiza iende Wizara ya Afya kununua Vifaa na dawa za Corona.  Dkt.Kija Luhuti...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli: Nina deni kubwa kwa Watanzania

Rais John Magufuli amesema ana deni kubwa kwa Watanzania baada ya wananchi kuonyesha imani kwake, huku akiwaambia wapinzani kuwa uchaguzi umekwisha na yeye ndiye Rais.

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma atoa ushauri wa bure kwa ma-director: Ubunifu ndio utakaotuokoa katika ukame huu

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma ametumia akaunti yake Instagram kutoa ushauri wa bure kwa waongozaji wenzake.

Adam Jumaa

Hiki ndicho ameandika Adam:

“Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna media itakayokuokoa katika ukame wa kazi utakapo wasili. Sifa hujenga kiburi akili hujenga ustaarabu, mafanikio yako yapo mkononi mwako- hata wakishot mbinguni isiwe sababu ya ww kuacha na kutoipenda kazi yako. Simama kwenye mstari na ujiamini, usishindane...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Dkt John Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Tanzania, aahidi kuwatumikia wananchi ‘nina deni kubwa’

ma35

Dokta John Pombe Magufuli, Alhamis hii ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyohudhuriwa na wananchi pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali barani Afrika.

ma35
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiapishwa Alhamis hii

Ikiwa ni siku iliyotangazwa na Rais aliyeondoka madarakani Jakaya Kikwete kuwa ya mapumziko, wananchi wengi walishuhudia kuapishwa kwa Magufuli kupitia runinga zao. Wengine walisikiliza matangazo...

 

9 years ago

Vijimambo

Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa


Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali iuzingatie ushauri huu muhimu

Tuna imani kuwa nchi yetu itaendelea kuwa ya amani, utulivu na mshikamano.

 

9 years ago

Dewji Blog

LIVE!! Rais Magufuli anahutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda huu Dodoma!

AtAsHx0mz7O0Tc_h4QgsCehoPZ7046db0BrjpXfGltty

Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge muda huu kutoka Bungeni Dodoma.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh  Dk. John Magufuli anaelezea kuwa mambo yote vipolo atayatatua na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake.

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ilikuikamilisha.

Suala la Muungano anaahidi kulifanyia kazi na kulitatua.

Awali:

Baada ya Rais kuingia Bungeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani