TAGLA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUSITISHA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU 2020
Meneja Mafunzo kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika akizungumza na Michuzi Tv baada ya kumalizika mkutano kwa Njia ya Mtandao uliohusisha nchi mbalimbali kuhusu Virusi vya Corona leo jijini Dar es Salaam,ambapo amempongeza Rais Magufuli kwa kusitisha mbio za Mwenge mwaka huu mpaka pale hali ya tatizo la Virusi vya Corona litakapopatiwa ufumbuzi huku bajeti ya Mwenge akiagiza iende Wizara ya Afya kununua Vifaa na dawa za Corona. Dkt.Kija Luhuti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI KWA UMAHIRI ALIOTUMIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA, YARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2020
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempongeza Rais Dk. John Magufuli kwa Uongozi imara, msimamo thabiti na usioyumba katika kipindi chote cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19.
Pongezi hizo zimetolewa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, katika kikao chake kilichofanyika jana katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli.
Pamoja na pongezi hizo Kamati...
10 years ago
MichuziMAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015
Naibu Waziri wa...
10 years ago
Vijimambo29 Apr
MAZOEZI YA MWISHO YA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015 MJINI SONGEA
5 years ago
MichuziTAASISI YA AMANI KWA WAISLAMU TANZANIA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI MAPAMBANO DHIDI YA CORON, YATOA RAI KWA WANANCHI
TAASISI ya Amani kwa Waislamu Tanzania (TIPF) kupitia Mwenyekiti wake Sadiki Godigodi imeipongeza hotuba ya Rais Dk. John Magufuli ambayo ameitoa siku za karibuni kuhusu hali halisi ya janga la ugonjwa wa Covid-19 nchini.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti huyo ni kwamba hotuba ya Rais Magufuli imejaa matumaini hususn katika matumizi ya dawa za kujifukiza huku akiwataka wataalamu wa kitaifa na kimataifa kuhakikisha wanafanyia kazi dawa hizo za asili zilizoonesha matumaini...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AAHIDI SERIKALI KUAJIRI WALIMU 13,526 KIPINDI CHA MWAKA HUU WA FEDHA
Dodoma, Tanzania
Rais Dk. John Magufuli amesema kati ya Watumishi 524,295 wa umma Watumishi 266,905 ni Walimu ambao ni sawa na asilimia 51 na kwamba pamoja na kuwaajiri walimu 22,342 katika kipindi hiki cha miaka mitano walimu wengine 13,526 wataajiriwa katika mwaka huu wa fedha.
Rais Dk. Magufuli amesema hayo leo...
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Rwanda yampongeza rais mteule wa Burundi, je huu ndio mwanzo mpya?
9 years ago
CCM BlogMBUNGE AYSHAROSE AUNGA MKONO UAMUZI WA RAIS DK. MAGUFULI KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU MWAKA HUU
Amesema, uamuzi huo umejali maslahi ya taifa kwa sababu fedha nyingi zingetumika kwenye masuala yasiyokuwa na ulazima kwa wananchi.
Pia, ametoa rai kwa watumishi na viongozi wenzake wa serikali kufanyakazi kwa...
10 years ago
MichuziRais Kikwete atoa hotuba Kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Tabora
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI TABORA