MAZOEZI YA MWISHO YA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015 MJINI SONGEA
Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (katikati)akishaurina na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushotoi) na Waziri wa Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii , Vijana ,wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Zainabu Omary Mohamed(kulia) leo mjini Songea wakati wa mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2015, utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ycmWSPmqRb0/VT-lb1hRLeI/AAAAAAAHT34/8uHZI_wA_i8/s72-c/3.jpg)
MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-ycmWSPmqRb0/VT-lb1hRLeI/AAAAAAAHT34/8uHZI_wA_i8/s1600/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZP617WbQTW0/VT-ldE8wIxI/AAAAAAAHT4A/brrAfnsysxQ/s1600/4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/7ivGzfL1pjQ/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vdgTC6GKh9w/U2EJ2Uy2YPI/AAAAAAAFeKo/j_BGhEeVW7I/s72-c/drbilal(2).jpg)
DKT BILAL MGENI RASMI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
![](http://1.bp.blogspot.com/-vdgTC6GKh9w/U2EJ2Uy2YPI/AAAAAAAFeKo/j_BGhEeVW7I/s1600/drbilal(2).jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2014, katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, mkoani Kagera Mei tarehe 2. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara wakati akiongea na Waandishi wa Habari Mjini Bukoba kuhusu Mbio hizo.
Mwenge huo utakaobeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yjH2Bp9dIIM/VT_xeRs3SqI/AAAAAAAC3wo/OrNyTmsmGSg/s72-c/Dr-Ali-Mohamed-Shein.jpg)
Dkt. Shein mgeni rasmi uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Ruvuma.
![](http://3.bp.blogspot.com/-yjH2Bp9dIIM/VT_xeRs3SqI/AAAAAAAC3wo/OrNyTmsmGSg/s1600/Dr-Ali-Mohamed-Shein.jpg)
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2015 ambazo Kitaifa zinafanyika Mkoani Ruvuma.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waizri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakati wa mazoezi ya ya mwisho yaliyofanyika katika Uwanja wa mpira wa Majimaji mjini Songea.
Waziri Fenella amesema kuwa maandalizi yameenda vizuri na kuwataka wananchi kujitokeza...
10 years ago
MichuziHatua za mwisho za Maandalizi Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015
10 years ago
Vijimambo29 Apr
DK. SHEIN AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOA WA RUVUMA APRIL 29, 2015
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/184.jpg)
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/unnamed35.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/355.jpg)
5 years ago
MichuziTAGLA YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUSITISHA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUU 2020
11 years ago
MichuziVodacom yachangia mbio za mwenge wa uhuru