Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIVE!! Rais Magufuli anahutubia Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda huu Dodoma!

AtAsHx0mz7O0Tc_h4QgsCehoPZ7046db0BrjpXfGltty

Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge muda huu kutoka Bungeni Dodoma.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh  Dk. John Magufuli anaelezea kuwa mambo yote vipolo atayatatua na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake.

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ilikuikamilisha.

Suala la Muungano anaahidi kulifanyia kazi na kulitatua.

Awali:

Baada ya Rais kuingia Bungeni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015

Mheshimiwa Spika;
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOHUTUBIA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MJINI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozw na Spika Anne Makinda akiingia Bungeni mjini Dodoma tayari kuhutubia wabunge Alhamisi Julai 9, 2015b10 Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia bungeni kuhutubia  waheshimiwa wabunge. Sehemu ya wabunge wakimsikiliza Rais KikweteRais Kikwete akihutubia waheshimiwa wabunge. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

 Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman kwenye sherehe fupi zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiinua mkuki na ngao juu mara baada ya kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani