RAIS WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JOHN POMBE MAGUFULI
Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman kwenye sherehe fupi zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiinua mkuki na ngao juu mara baada ya kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziHOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
9 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848...
9 years ago
MichuziRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...
9 years ago
VijimamboDK. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA URAIS WA TANZANIA AWAMU YA TANO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli (kulia),...
5 years ago
MichuziHUYU NDIYE MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MGUFULI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MH John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa Oktoba 29,mwaka 1959 katika kijiji cha Chato,wilayani Biharamuro katika Mkoa wa Kagera .hivi sasa Chato ni Wilaya katika Mkoa wa Geita.
Mh Magufuli ni Daktari wa Falsafa (PhD) ya Kemia .Amejaliwa Mke na watoto Saba.Mh Magufuli alichaguliwa na Watanzania kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba ,2015 kwa tiketi ya CCM na kuapishwa ili aanze majukumu yake rasmi...
10 years ago
VijimamboHotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015
9 years ago
MichuziASKOFU CHARLES GADI AONGOZA UMOJA WA MAKANISA YA DODOMA KUMUOMBEA RAIS DK.JOHN MAGUFULI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Serikali yasitisha matumizi ya picha ya Rais wa awamu ya 5 Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene.
Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.
Awali majira ya saa 6: 00 jana mchana Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.
Aidha, Serikali imesema kwamba itazitangazia ofisi...