BREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...
9 years ago
Michuzi
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015

Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
10 years ago
CCM Blog
RAIS WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JOHN POMBE MAGUFULI



10 years ago
Vijimambo
Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

9 years ago
Michuzi
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO



5 years ago
Michuzi
HUYU NDIYE MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MGUFULI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MH John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa Oktoba 29,mwaka 1959 katika kijiji cha Chato,wilayani Biharamuro katika Mkoa wa Kagera .hivi sasa Chato ni Wilaya katika Mkoa wa Geita.
Mh Magufuli ni Daktari wa Falsafa (PhD) ya Kemia .Amejaliwa Mke na watoto Saba.Mh Magufuli alichaguliwa na Watanzania kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba ,2015 kwa tiketi ya CCM na kuapishwa ili aanze majukumu yake rasmi...
10 years ago
GPL
RAIS MTEULE WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI
10 years ago
GPL
DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
10 years ago
GPL
RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI KUAPISHWA LEO