Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juma Nature: Kwenda international ndio nini?

Juma Nature amesema hana haraka ya kwenda kimataifa kwa kudai bado ana muda wa kutosha kwenda huko. Nature anadai kuwa bado anajichukulia kama msanii mchanga mwenye kipaji cha ajabu. “Hizo ni plan zangu baadaye sio sasa hivi,” Nature ameiambia Bongo5. “Mimi sifanyagi kitu kwa kuiga, kwa sababu mimi sio underground na nina jina la kutosha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Inspector Haroun Ft Juma Nature — Mungu Ndio Anapanga

Wimbo mpya kutoka kwa Inspector Haroun amemshirikisha Juma Nature, unaitwa “Mungu Ndio Anapanga” na umetengenezwa na Poroducer Dupy Studio Uprise Music.

 

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mtanzania

Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020

maxresdefaultNA FESTO POLEA

KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.

Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Mtanzania

Kampeni yawakutanisha Juma Nature, Rich One

Rich & NatureNA MWANDISHI WETU

WASANII Juma Nature na Rich One waliowahi kuwika katika kundi la TMK Wanaume Halisi na kisha kutengana wamejikuta wakiimba pamoja katika kampeni za kumnadi mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.

Juzi wasanii hao walipanda katika jukwaa la Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuimba pamoja nyimbo mbalimbali walizowahi kushiriki wakiwa katika kundi lao la pamoja huku mashabiki wao wengi...

 

10 years ago

Mwananchi

Juma Nature awaasa waliotangaza nia

Msanii Juma Nature, ametoa rai kwa wasanii waliotangaza nia kuwania viti mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, akiwataka kusimama kwenye misingi ya kusaidia jamii badala na si vinginevyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani