Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020
NA FESTO POLEA
KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.
Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mbowe: Nitagombea tena ubunge Hai
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Esther Matiko: Nitagombea ubunge Jimbo la Tarime
10 years ago
Bongo505 Jun
Kala Jeremiah: Nitagombea ubunge au urais miaka 10 ijayo
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0Xd6aDslgio/VVbL_AdA8kI/AAAAAAAHXgo/FgD7jvrwcKY/s72-c/unnamed.png)
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Kampeni yawakutanisha Juma Nature, Rich One
NA MWANDISHI WETU
WASANII Juma Nature na Rich One waliowahi kuwika katika kundi la TMK Wanaume Halisi na kisha kutengana wamejikuta wakiimba pamoja katika kampeni za kumnadi mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.
Juzi wasanii hao walipanda katika jukwaa la Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuimba pamoja nyimbo mbalimbali walizowahi kushiriki wakiwa katika kundi lao la pamoja huku mashabiki wao wengi...
11 years ago
GPL04 Aug
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Juma Nature awaasa waliotangaza nia
9 years ago
Bongo524 Oct
Juma Nature: Kwenda international ndio nini?