Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Nitagombea tena ubunge Hai

Hai. Siku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza kuwania tena ubunge katika jimbo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe apata mpinzani wa ubunge Hai

>Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) Maynard Swai, ametangaza kuwania ubunge katika Jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe aundiwa zengwe ubunge Hai

Wanachama wa Chadema wamedai kufichua mpango unaofanywa na baadhi ya viongozi wa CCM wa kumwekea pingamizi Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe ili asiwanie ubunge.

 

9 years ago

Mtanzania

Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020

maxresdefaultNA FESTO POLEA

KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.

Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...

 

10 years ago

Mwananchi

Esther Matiko: Nitagombea ubunge Jimbo la Tarime

Esther Matiko ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara. Ni mmoja wa wanasiasa vijana anayebeba matumaini ya vijana wengi nchini.

 

10 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah: Nitagombea ubunge au urais miaka 10 ijayo

Rapper Kala Jeremiah amesema atafikiria kugombea nafasi ya ubunge au urais baada ya miaka 10 licha ya kushauriwa na watu mbalimbali kufanya hivyo muda huu. Kala ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa bado anataka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa njia ya muziki. “Mimi nimekuwa kati ya wasanii ambao nimekuwa nikishauriwa kuingia kwenye siasa na kugombea,” amesema rapper […]

 

10 years ago

IPPmedia

Mbowe becomes candidate in Hai


IPPmedia
Mbowe becomes candidate in Hai
IPPmedia
Chadema National Chairman Freeman Mbowe has won the Parliamentary nomination race for Hai Constituency in Kilimanjaro Region after garnering 269 votes, equivalent to 98.2 per cent of the total valid votes cast. Mbowe who almost faced no opposition in ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe matatani wilayani Hai

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe azimwagia vifaa timu 16 Hai

MBUNGE wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe (Chadema) amekabidhi jezi na vifaa vingine vya michezo kwa timu 16 za soka kuelekea michuano maalumu ya ‘Mbowe Cup’ katika kukuza kiwango cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani