Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kala Jeremiah: Nitagombea ubunge au urais miaka 10 ijayo

Rapper Kala Jeremiah amesema atafikiria kugombea nafasi ya ubunge au urais baada ya miaka 10 licha ya kushauriwa na watu mbalimbali kufanya hivyo muda huu. Kala ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa bado anataka kuendelea kuwatumikia wananchi kwa njia ya muziki. “Mimi nimekuwa kati ya wasanii ambao nimekuwa nikishauriwa kuingia kwenye siasa na kugombea,” amesema rapper […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Kala Jeremiah – Malkia

KALA-NEW

Rapper Kala Jeremiah baada ya kimya kidogo amerudi tena na hii video mpya wimbo unaitwa “Malkia”, Video imeongozwa na Pablo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah aitupia lawama BASATA

Kala Jeremiah anaamini kuwa hatua ya Baraza la Sanaa Taifa, BASATA kuifungia ngoma ya Roma Mkatoliki ‘Viva Roma’ ni sawa na kuingilia na kuvuruga demokrasia. Akizungumza na kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Kala alisema kama tatizo ni ushahidi wa kile alichokiimba Roma,nyimbo zote zinapaswa kufungiwa kwa kuwa hazina uhalisia. “Ushahidi gani unautaka?” […]

 

11 years ago

GPL

KALA JEREMIAH NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Kalla Jeremiah akipozi ndani ya studio za Global TV Online kabla ya kufanyiwa mahojiano. Kalla akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global. Kutoka kushoto ni Erick Evarist, Gabriel Mongela…

 

10 years ago

CloudsFM

KALA JEREMIAH: NIMEOTESHWA KUANDIKA “USIKATE TAMAA”

Staa wa Hip Hop,Kala Jeremiah ambaye hivi karibuni alilamba mkataba wa kuwa balozi wa kampuni moja ya vinywaji kwa mwaka wa pili mfululizo. Kala Jeremiah ana mipango ya kuachia ngoma mpya inaitwa ‘’Usikate Tamaa’’, ina aminika kuwa itashika kushika katika level za Dear god, Kala anasema idea ya ngoma hiyo imeanzia ndotoni.

 

9 years ago

Mtanzania

Kala Jeremiah: Tukumbuke maisha baada ya uchaguzi

kala-jeremiahNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa rap nchini, Kala Jeremiah, amewataka wasanii wenzake wanaoshabikia vyama mbalimbali kuelekea kwenye uchaguzi wa Oktoba 25, wakumbuke maisha baada ya uchaguzi huo.

Kala Jeremiah alisema anashangazwa na wanaojibweteka upande mmoja wa chama bila kujua maisha yao yatakuwa vipi baada ya uchaguzi kupita.

“Ni haki kwa kila mtu kuwa na mtu anayemkubali kama rais, lakini ninavyoona kuna baadhi ya watu wana ushabiki unaovuka mipaka, hofu yangu kubwa ni baada...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Kala Jeremiah f/ Roma — Nchi ya Ahadi

Kala Jeremiah na Roma wameungana kutengeneza ngoma mpya ‘Nchi ya Ahadi’ iliyotoka leo. Kwenye wimbo huo Kala amechukua nafasi ya mwananchi anayemuuliza maswali magumu Roma ambaye ni mwanasiasa anayetafuta nafasi nyingine ya uongozi. Ni wimbo mzuri hasa kwa kipindi hiki. Usikilize.

 

10 years ago

CloudsFM

MALARIA,TYPHOD YAMLAZA KALA JEREMIAH HOSPITALI

Rapa wa ngoma ya ‘’Usikate Tamaa’,Kala Jeremiah hivi karibuni alilazwa katika hospitali ya Arafa iliyopo maeneo ya Airport baada ya kuugua magonjwa ya malaria na typhod.‘’Yaah nilikuwa naumwa malaria na Typhod na nilikuwa naenda katika hospitali ya Arafa nilikuwa nikipatiwa matibabu na kupumzishwa lakini kwa sasa hivi naendelea vizuri’’ alisema Kala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani