Kala Jeremiah aitupia lawama BASATA
Kala Jeremiah anaamini kuwa hatua ya Baraza la Sanaa Taifa, BASATA kuifungia ngoma ya Roma Mkatoliki ‘Viva Roma’ ni sawa na kuingilia na kuvuruga demokrasia. Akizungumza na kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Kala alisema kama tatizo ni ushahidi wa kile alichokiimba Roma,nyimbo zote zinapaswa kufungiwa kwa kuwa hazina uhalisia. “Ushahidi gani unautaka?” […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Roberto Martinez aitupia lawama FA
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Klabu ya Everton, Roberto Martinez, amekitupia lawama Chama cha Soka nchini Uingereza kwa utaratibu wa dirisha la usajili kuwa wazi wakati Ligi Kuu ikiwa inaendelea.
Martinez amesema kuwa hali hiyo itawafanya wachezaji wasifikirie michezo inayokuja na kuwazia juu ya kusajiliwa.
Ligi hiyo imeanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki iliyopita lakini dirisha la usajili linatarajia kufungwa Septemba 1 mwaka huu.
Martinez ameyaeleza hayo baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya...
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Michel Platini aitupia lawama UEFA
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Rais CWT aitupia lawama Serikali
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Mourinho aitupia lawama safu ya ulinzi
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, ametupia lawama safu ya ulinzi ya klabu hiyo baada ya kupokea kichapo cha
mabao 2-1 dhidi ya Porto.
Kocha huyo amesema mpaka sasa hajui ubora wa kikosi chake kwa kuwa kimepoteza michezo mingi ya Ligi Kuu nchini England.
“Kuna tatizo kwa upande wa safu ya ulinzi na ndio maana tunapoteza baadhi ya michezo, hii inatokana na kukosa mawasiliano lakini ninaamini nina mabeki wazuri ambao wana uwezo mkubwa na wala sina wasi wasi.
“Matatizo yanakuja...
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Mbatia aitupia lawama Serikali ajali ya Iringa
9 years ago
Bongo512 Dec
Video: Kala Jeremiah – Malkia
![KALA-NEW](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/KALA-NEW-300x194.jpg)
Rapper Kala Jeremiah baada ya kimya kidogo amerudi tena na hii video mpya wimbo unaitwa “Malkia”, Video imeongozwa na Pablo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
GPLKALA JEREMIAH NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
CloudsFM12 Dec
MALARIA,TYPHOD YAMLAZA KALA JEREMIAH HOSPITALI
Rapa wa ngoma ya ‘’Usikate Tamaa’,Kala Jeremiah hivi karibuni alilazwa katika hospitali ya Arafa iliyopo maeneo ya Airport baada ya kuugua magonjwa ya malaria na typhod.
‘’Yaah nilikuwa naumwa malaria na Typhod na nilikuwa naenda katika hospitali ya Arafa nilikuwa nikipatiwa matibabu na kupumzishwa lakini kwa sasa hivi naendelea vizuri’’ alisema Kala.
10 years ago
Bongo518 Mar
New Music: Kala Jeremiah f/ Roma — Nchi ya Ahadi