Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais CWT aitupia lawama Serikali

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba ameirushia lawama Serikali kwamba inatumia fursa ya upole wa walimu kuwakandamiza kwa kutowalipa madeni yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbatia aitupia lawama Serikali ajali ya Iringa

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia amesema kwamba  ajali  iliyotokea eneo la Mafinga Changalawe mkoani Iringa ilikuwa imepangwa na binadamu na wala sio mipango ya Mungu.

 

10 years ago

Mtanzania

Roberto Martinez aitupia lawama FA

Roberto MartinezLONDON, ENGLAND

KOCHA wa Klabu ya Everton, Roberto Martinez, amekitupia lawama Chama cha Soka nchini Uingereza kwa utaratibu wa dirisha la usajili kuwa wazi wakati Ligi Kuu ikiwa inaendelea.

Martinez amesema kuwa hali hiyo itawafanya wachezaji wasifikirie michezo inayokuja na kuwazia juu ya kusajiliwa.

Ligi hiyo imeanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki iliyopita lakini dirisha la usajili linatarajia kufungwa Septemba 1 mwaka huu.

Martinez ameyaeleza hayo baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Michel Platini aitupia lawama UEFA

Michel Platini ameitupia lawama UEFA,na kusema walikuwa wanalala usingizi kwa miaka 4 kabla ya kumzuia kujishughulisha na soka.

 

9 years ago

Mtanzania

Mourinho aitupia lawama safu ya ulinzi

Manchester United v Chelsea - Premier LeagueLONDON, ENGLAND

KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, ametupia lawama safu ya ulinzi ya klabu hiyo baada ya kupokea kichapo cha
mabao 2-1 dhidi ya Porto.

Kocha huyo amesema mpaka sasa hajui ubora wa kikosi chake kwa kuwa kimepoteza michezo mingi ya Ligi Kuu nchini England.

“Kuna tatizo kwa upande wa safu ya ulinzi na ndio maana tunapoteza baadhi ya michezo, hii inatokana na kukosa mawasiliano lakini ninaamini nina mabeki wazuri ambao wana uwezo mkubwa na wala sina wasi wasi.

“Matatizo yanakuja...

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah aitupia lawama BASATA

Kala Jeremiah anaamini kuwa hatua ya Baraza la Sanaa Taifa, BASATA kuifungia ngoma ya Roma Mkatoliki ‘Viva Roma’ ni sawa na kuingilia na kuvuruga demokrasia. Akizungumza na kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Kala alisema kama tatizo ni ushahidi wa kile alichokiimba Roma,nyimbo zote zinapaswa kufungiwa kwa kuwa hazina uhalisia. “Ushahidi gani unautaka?” […]

 

9 years ago

Mwananchi

CWT yaitega Serikali madai ya walimu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimeitaka Serikali kutekeleza madai ya ahadi za walimu kama walivyokubaliana na chama hicho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT: Serikali itatue kero za walimu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...

 

11 years ago

Mwananchi

Dar waishushia lawama Serikali

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inadaiwa hadi sasa haijatoa kiasi chochote cha pesa ili kuziwezesha Manispaa za Dar es Salaam kudhibiti homa ya dengue, badala yake imetoa vipeperushi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yasisitiza msimamo wao ni serikali tatu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimesisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni muundo wa serikali tatu. Akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa CWT, Gratian...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani