Mourinho aitupia lawama safu ya ulinzi
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, ametupia lawama safu ya ulinzi ya klabu hiyo baada ya kupokea kichapo cha
mabao 2-1 dhidi ya Porto.
Kocha huyo amesema mpaka sasa hajui ubora wa kikosi chake kwa kuwa kimepoteza michezo mingi ya Ligi Kuu nchini England.
“Kuna tatizo kwa upande wa safu ya ulinzi na ndio maana tunapoteza baadhi ya michezo, hii inatokana na kukosa mawasiliano lakini ninaamini nina mabeki wazuri ambao wana uwezo mkubwa na wala sina wasi wasi.
“Matatizo yanakuja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Roberto Martinez aitupia lawama FA
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Klabu ya Everton, Roberto Martinez, amekitupia lawama Chama cha Soka nchini Uingereza kwa utaratibu wa dirisha la usajili kuwa wazi wakati Ligi Kuu ikiwa inaendelea.
Martinez amesema kuwa hali hiyo itawafanya wachezaji wasifikirie michezo inayokuja na kuwazia juu ya kusajiliwa.
Ligi hiyo imeanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki iliyopita lakini dirisha la usajili linatarajia kufungwa Septemba 1 mwaka huu.
Martinez ameyaeleza hayo baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Rais CWT aitupia lawama Serikali
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Michel Platini aitupia lawama UEFA
9 years ago
Bongo530 Sep
Kala Jeremiah aitupia lawama BASATA
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Mbatia aitupia lawama Serikali ajali ya Iringa
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Safu ya ulinzi ya Simba yapondwa
10 years ago
BBCSwahili07 Dec
Wenger:Safu ya ulinzi ilikuwa maji maji.
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Nyambui aitupia zigo mikoa
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui amevitupia lawama vyama vya mchezo wa Riadha vya Mkoani kwa maandalizi duni ya wanariadha wao ambao wamewakilisha katika mashindano ya...