Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safu ya ulinzi ya Simba yapondwa

Kiungo wa zamani wa Mlandege na Yanga, Deo Lucas amesema bado anashangazwa na klabu ya Simba kuendelea kusajili washambuliaji wakati wanajua fika wana safu mbovu ya ulinzi msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mourinho aitupia lawama safu ya ulinzi

Manchester United v Chelsea - Premier LeagueLONDON, ENGLAND

KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, ametupia lawama safu ya ulinzi ya klabu hiyo baada ya kupokea kichapo cha
mabao 2-1 dhidi ya Porto.

Kocha huyo amesema mpaka sasa hajui ubora wa kikosi chake kwa kuwa kimepoteza michezo mingi ya Ligi Kuu nchini England.

“Kuna tatizo kwa upande wa safu ya ulinzi na ndio maana tunapoteza baadhi ya michezo, hii inatokana na kukosa mawasiliano lakini ninaamini nina mabeki wazuri ambao wana uwezo mkubwa na wala sina wasi wasi.

“Matatizo yanakuja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Safu ya ulinzi ilikuwa maji maji.

Safu ya ulinzi ya Arsenal ilikuwa ''maji maji'' sana dhidi ya Stoke wakati timu hiyo ilipolazwa kwa mabao 3-2

 

11 years ago

Mwananchi

Ulinzi kuimarishwa Simba, Yanga

>Wakati homa ya mchezo wa kirafiki wa Nani Mtani Jembe utakao zikutanisha Simba na Yanga, Jumamosi hii ikizidi kupanda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa lipo katika maandalizi kabambe kwa ajili ya mechi hiyo  hata hivyo nguvu zaidi limezielekezwa  katika suala la usalama.

 

9 years ago

Habarileo

Sera ya majimbo yapondwa

KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka, ameponda sera ya majimbo inayotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akisema inachochea ubaguzi na ukabila.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rasimu ya Katiba yapondwa

SIKU moja baada ya Bunge Maalum, kuanika rasimu ya katiba inayopendekezwa, wadau mbalimbali wameiponda. Mhadhiri wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Bashiru Ally, amesema vikao...

 

11 years ago

GPL

Tambwe chini ya ulinzi mkali Simba

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umetangaza kumwekea ulinzi mkali mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ikiwa ni siku moja baada ya kuwepo kwa taarifa za mchezaji huyo kuwaniwa na timu nyingine, ikiwemo yeye mwenyewe kutoa kauli ya kuwakaribisha Yanga kwa mazungumzo ya usajili kama wanamhitaji. Tambwe ambaye anaongoza kwa mabao...

 

10 years ago

Vijimambo

NI MAFANIKIO KUWA NA ASKARI WANAWAKE KATIKA ULINZI WA AMANI UN-MHE SIMBA

Mhe. Sophia Simba ( Mb) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akizungumza (alhamisi) katika majadiliano ya jumla katikamkutano wa Kamisheni 59 kuhusu Hadhi ya Wanawake. Mhe. Waziri anaongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwamo wajumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Tanzania ni kati ya nchi 13 zinazoiwakilisha Afrika katika Kamisheni hii inayoundwa na nchi 45.Katika picha hii ya maktaba anaoneka Mhe. Asha-Rose Migiro ( Mb) wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

NI MAFANIKIO KUWA NA ASKARI WANAWAKE KATIKA ULINZI WA AMANI UN - MHE SIMBA

Katika picha hii ya maktaba anaoneka Mhe. Asha-Rose Migiro ( Mb) wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwa na baadhi ya askari wanawake kutoka JWTZ wanaoshiriki katika operesheni ya kulinda amani kupitia Umoja wa Mataifa huko Lebanon. Katika mchango wake, Mhe. Simba pamoja na mafanikio mengine ambayo Tanzania imeyapata katika miaka 20 tangu mkutano wa Beijing ni pamoja na askari wanawake kupata fursa za kushiriki katika operesheni za kulinza amani zinazoratibiwa na Umoja...

 

10 years ago

Mwananchi

Safu za uongozi zakamilika

Chadema jana ilihitimisha kupanga safu yake ya uongozi kwa kuwachagua viongozi wa Taifa katika mkutano wake mkuu uliofanyika jijini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani