Tambwe chini ya ulinzi mkali Simba
Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai UONGOZI wa Klabu ya Simba umetangaza kumwekea ulinzi mkali mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ikiwa ni siku moja baada ya kuwepo kwa taarifa za mchezaji huyo kuwaniwa na timu nyingine, ikiwemo yeye mwenyewe kutoa kauli ya kuwakaribisha Yanga kwa mazungumzo ya usajili kama wanamhitaji. Tambwe ambaye anaongoza kwa mabao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZdFVtFRWxeimfqB5jxfs3Ogu5kZ5FCLTT*tNmE5GMRA8ecIxGvp1fj7cqzDMlpICe-yNl7m0ai1AKs0Bv7kOaF/MESI.gif?width=600)
Messi chini ya ulinzi mkali jijini Mbeya
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Ulinzi mkali bungeni
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeendelea kuimarisha ulinzi eneo la kuzunguka jengo la Bunge, licha ya azimio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutotekelezwa juzi. Kama ilivyokuwa...
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Ulinzi mkali kesi ya Sheikh Farid
![Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Sheikh-Farid-Hadi-Ahmed.jpg)
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
ULINZI mkali wa polisi na mbwa umetawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana, wakati kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake ilipokuwa ikitajwa.
Askari wenye sare na wale waliovaa kiraia walitanda kila kona ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuhakikisha usalama unakuwapo.
Ndugu wa...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Ulinzi mkali mdahalo wa Jaji Warioba leo
11 years ago
Habarileo10 Dec
Ulinzi mkali kumuaga Nelson Mandela leo
LEO ni siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Pengo asali chini ya ulinzi
Na Waandishi Wetu
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa na mbwa nane, waliweka doria katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika jana.
Ibada hiyo iliyoanza saa tisa jioni iliongozwa na Paroko wa Kanisa hilo, Audax Kaasa na Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyetarajiwa kuiendesha kama ratiba ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ilivyoeleza, lakini hakufanya hivyo bali alisali kama muumini wa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
BREAK NEWS: ULINZI MKALI NI ISHARA YA CCM KUBADILISHA MATOKEO YA KURA.
Asalamu alaikhum Warahmatullahi Ndugu Watanzania kutoka Zanzibar na Tanganyika. Mpaka sasa habari rasmi ambazo zinafanywa Siri Siri Nikwamba. Uchaguzi wa Jumapili utatokea katika misingi ya Amani . Lakini Matokeo ya Raisi Wa Muungano Yatakuwa ya Staill […]
The post BREAK NEWS: ULINZI MKALI NI ISHARA YA CCM KUBADILISHA MATOKEO YA KURA. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Baraza la madiwani lafanyika chini ya ulinzi
KIKAO cha Kamati ya Fedha na Uchumi cha Madiwani wa Halimashauri ya Jiji la Tanga, kimefanyika chini ya ulinzi wa polisi baada ya wanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF) kuvami...