Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Messi chini ya ulinzi mkali jijini Mbeya

Ramadhani Singano ‘Messi’. Sweetbert Lukonge, Dar na Sophia Mwaipyana, Mbeya
BENCHI la ufundi la Mbeya City limesema kuwa limejipanga vilivyo kuhakikisha kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ hafurukuti katika mechi ya kesho ya Ligi Kuu Bara itakayozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa kumwekea ulinzi wa kutosha. Kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Tambwe chini ya ulinzi mkali Simba

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umetangaza kumwekea ulinzi mkali mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ikiwa ni siku moja baada ya kuwepo kwa taarifa za mchezaji huyo kuwaniwa na timu nyingine, ikiwemo yeye mwenyewe kutoa kauli ya kuwakaribisha Yanga kwa mazungumzo ya usajili kama wanamhitaji. Tambwe ambaye anaongoza kwa mabao...

 

10 years ago

Mwananchi

Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali

>Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1), aliyetekwa juzi katika Kijiji cha Ilelema, wilayani Chato mkoani Geita na kuokotwa katika Hifadhi ya Biharamulo akiwa amekufa bila mikono wala miguu, atazikwa leo saa 5 asubuhi katika Kijiji cha Ibondo, mkoani Geita chini ya ulinzi mkali wa polisi.

 

9 years ago

Vijimambo

DAWA ZA KULEVYA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI JIJINI DAR

Sehemu ya Dawa za kulevya zilizoteketezwa jana katika Kiwanda Cha Saruji Cha Wazo Hill Jijini  Dar es Salaam uku zikisimamiwa na majaji wa mahakama Kuu, jeshi la Polisi pamoja na mamlaka ya kudhibiti Dawa za kulevya hapa nchini Sehemu ya Kinu cha Kiwanda Cha Saruji Cha Wazo Hill Jijini  Dar es Salaam  ambako dawa za kulevya zimeteketezwa jana chini ya uangalizi mkali . Akizungumza  na waandishi wa habari mara baada ya kuzichoma moto katika kinu hicho Jaji  wa Mahakama Kuu Edison...

 

9 years ago

Michuzi

DAWA ZA KULEVYA AINA YA HEROINE NA COCAINE ZATEKETEZWA CHINI YA UANGALIZI MKALI JIJINI DAR


 Sehemu ya Kinu cha Kiwanda Cha Saruji Cha Wazo Hill Jijini  Dar es Salaam  ambako dawa za kulevya zimeteketezwa jana chini ya uangalizi mkali . Akizungumza  na waandishi wa habari mara baada ya kuzichoma moto katika kinu hicho Jaji  wa Mahakama Kuu Edison Mkasimongwa alizitaja aina ya dawa hizo kuwa  ni Heroine mifuko 179 na Cocaine mifuko 81 zenye thamani ya Shilingi Bilioni tano ambapo  zilikuwa na Gram 175,000 ambazo zilikamatwa miaka kadhaa Mbezi Jogoo jijini Dar.Jaji wa Mahakama...

 

9 years ago

Vijimambo

FM ACADEMIA WADONDOSHA SHOW YA NGUVU JIJINI MBEYA CHINI YA UDHAMINI YA KINYWAJI CHA K-VANT GIN

Wanamuziki wa Bendi ya Fm Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakitoa burudani kwa mashabiki wao siku ya uzinduzi wa Hotel ya Mfikemo Sae jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.Picha Elvis Kimambo Jamiimojablog Mashabiki na wadau wa Fm Academia wakiserebuka katika onyesho hilo. Mkurugenzi wa Hotel ya Mfikemo Ndugu Lwitiko Mwandembele (katikati) Jofrey Ananiah kulia na wengine wakifurahia jambo siku ya uzinduzi wa hotel hiyo ambapo kuliambatana na onyesho la Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Meneja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ulinzi mkali bungeni

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeendelea kuimarisha ulinzi eneo la kuzunguka jengo la Bunge, licha ya azimio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutotekelezwa juzi. Kama ilivyokuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Ulinzi mkali kesi ya Sheikh Farid

Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed

Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

ULINZI mkali wa polisi na mbwa umetawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana, wakati kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake ilipokuwa ikitajwa.

Askari wenye sare na wale waliovaa kiraia walitanda kila kona ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuhakikisha usalama unakuwapo.

Ndugu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi mkali mdahalo wa Jaji Warioba leo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema ulinzi utaimarishwa kabla, wakati na baada ya mdahalo maalumu wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam mzungumzaji mkuu akiwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

11 years ago

Habarileo

Ulinzi mkali kumuaga Nelson Mandela leo

Msemaji wa Polisi Afrika Kusini, Luteni Jenerali Solomon MakgaleLEO ni siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani