Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali
>Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1), aliyetekwa juzi katika Kijiji cha Ilelema, wilayani Chato mkoani Geita na kuokotwa katika Hifadhi ya Biharamulo akiwa amekufa bila mikono wala miguu, atazikwa leo saa 5 asubuhi katika Kijiji cha Ibondo, mkoani Geita chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania21 Feb
Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi
Na Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...
11 years ago
GPLTambwe chini ya ulinzi mkali Simba
11 years ago
GPLMessi chini ya ulinzi mkali jijini Mbeya
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Maziko ya Bwanamdogo kufanyika Bagamoyo leo
10 years ago
GPLMAZIKO YA MUNA OBIEKWE KUFANYIKA FEBRUARI 3, 2015
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Ulinzi mkali bungeni
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeendelea kuimarisha ulinzi eneo la kuzunguka jengo la Bunge, licha ya azimio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutotekelezwa juzi. Kama ilivyokuwa...
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Ulinzi mkali kesi ya Sheikh Farid
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
ULINZI mkali wa polisi na mbwa umetawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana, wakati kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake ilipokuwa ikitajwa.
Askari wenye sare na wale waliovaa kiraia walitanda kila kona ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuhakikisha usalama unakuwapo.
Ndugu wa...
11 years ago
Habarileo10 Dec
Ulinzi mkali kumuaga Nelson Mandela leo
LEO ni siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.