Sera ya majimbo yapondwa
KAIMU Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka, ameponda sera ya majimbo inayotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akisema inachochea ubaguzi na ukabila.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Rasimu ya Katiba yapondwa
SIKU moja baada ya Bunge Maalum, kuanika rasimu ya katiba inayopendekezwa, wadau mbalimbali wameiponda. Mhadhiri wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Bashiru Ally, amesema vikao...
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Safu ya ulinzi ya Simba yapondwa
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.
CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.
Tathmini ya Upigaji Kura
Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...
9 years ago
Habarileo29 Oct
CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.