Mbowe apata mpinzani wa ubunge Hai
>Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) Maynard Swai, ametangaza kuwania ubunge katika Jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Mbowe aundiwa zengwe ubunge Hai
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mbowe: Nitagombea tena ubunge Hai
10 years ago
Mtanzania25 May
Lukuvi apata mpinzani jimboni
NA RAYMOND MINJA, IRINGA
JOTO la uchaguzi limeendelea kupanda baada ya mtaalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhandisi Sebastiani Kayoyo (39) kutangaza nia ya kuwani ubunge katika
Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Jimbo la Isimani linaongozwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza nia yake juzi, Mhandisi Kayoyo alisema amepania kuhakikisha...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Dk Shein apata mpinzani wa urais Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Dk. Shukuru Kawambwa apata mpinzani jimbo la Bagamoyo
Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe.
Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe (katikati), akizungumza na makada na wanahabari wakati akitangaza nia mjini Bagamoyo mkoani Pwani Pwani jana. Kushoto ni Meneja wa Kampeni wa Mtangaza nia huyo, James Mbuligwe na Katibu wa Sera na Mipango wa Mtangania huyo, Paul Kassanga.
Meneja wa Kampeni wa Mtangaza nia huyo, James Mbuligwe (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
Katibu wa Sera...
10 years ago
MichuziDK.SHUKURU KAWAMBWA APATA MPINZANI JIMBO LA BAGAMOYO
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Mgimwa apata mpinzani mpya jimbo la KalengaÂ
Na Elias Msuya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo kimepata mgombea mpya atakayepambana na mgombea wa CCM katika jimbo la Kalenga katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Jimbo hilo linaloshikiliwa na Godfrey Mgimwa aliyeshinda uchaguzi mdogo Machi 2014 baada ya baba yake mzazi, Dk. William Mgimwa, kufariki dunia.
Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kidamali, Kalenga Iringa vijijini, mgombea mpya wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Mussa Mdede...
10 years ago
GPLDK.SHUKURU KAWAMBWA APATA MPINZANI JIMBO LA BAGAMOYO
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ybieUunwRQM/VYUKkt_l2VI/AAAAAAAAHO8/yaqUqRlvF-4/s72-c/LEMA.png)
Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"
![](http://3.bp.blogspot.com/-ybieUunwRQM/VYUKkt_l2VI/AAAAAAAAHO8/yaqUqRlvF-4/s1600/LEMA.png)
HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.Panju alitangaza rasmi nia hiyo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jijini hapa, ambapo aliwataka wanachama wa CCM kumuamini na kumpa nafasi ili apeperushe bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huuAidha, alisema...