Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein apata mpinzani wa urais Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein, amepata mpinzani iwapo ataamua tena kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao mwakani, baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Tadea, Juma Ali Khatib (50), kutangaza nia ya kuwania nafasi hiyo visiwani humu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM katika viwanja vya garagara mtoni akiwa katika mikutano yake ya kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar. kwa kupata ridhaa za Wananchi kuongoza Zanzibar kwa Maendeleo ya Wananchi wa Zanzibar katika sekta mbalimbali na kudumisha Amani na Utulivu katika Visiwa vya Unguja na Pemba. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed...

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KATIKA VIWANJA CHA GARAGARA MTONI ZANZIBAR,

Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake ya kampeni Zanzibar kuomba ridhaa za Wananchi kumchagua tena kuongoza Zanzibar.Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohameid Shein, akisalimiana na Mama Fatma Karume alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndg Yussuf Mohammed akizungumza na Wananchi na...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Mtanzania

Lukuvi apata mpinzani jimboni

William LukuviNA RAYMOND MINJA, IRINGA
JOTO la uchaguzi limeendelea kupanda baada ya mtaalamu wa kilimo cha umwagiliaji kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhandisi Sebastiani Kayoyo (39) kutangaza nia ya kuwani ubunge katika
Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Jimbo la Isimani linaongozwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza nia yake juzi, Mhandisi Kayoyo alisema amepania kuhakikisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe apata mpinzani wa ubunge Hai

>Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) Maynard Swai, ametangaza kuwania ubunge katika Jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Michuzi

DK.SHUKURU KAWAMBWA APATA MPINZANI JIMBO LA BAGAMOYO

 Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe.Meneja wa  Kampeni wa Mtangaza nia huyo, James Mbuligwe (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Katibu wa Sera na Mipango wa Mtangania huyo, Paul Kassanga(kulia), akizungumza kwenye mkutano huo. Mzee Abdallah Ngumbe akizungumza katika mkutano huo na wakati akimpa ushauri mbalimbali mtangaza nia huyo.
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Mtanzania

Mgimwa apata mpinzani mpya jimbo la Kalenga 

M2Na Elias Msuya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo kimepata mgombea mpya atakayepambana na mgombea wa CCM katika jimbo la Kalenga katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Jimbo hilo linaloshikiliwa na Godfrey Mgimwa aliyeshinda uchaguzi mdogo Machi 2014 baada ya baba yake mzazi, Dk. William Mgimwa, kufariki dunia.

Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kidamali, Kalenga Iringa vijijini, mgombea mpya wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Mussa Mdede...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Shukuru Kawambwa apata mpinzani jimbo la Bagamoyo

Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe.

2

Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe (katikati), akizungumza na makada na wanahabari wakati akitangaza nia mjini Bagamoyo mkoani Pwani Pwani jana. Kushoto ni Meneja wa Kampeni wa Mtangaza nia huyo, James Mbuligwe na Katibu wa Sera na Mipango wa Mtangania huyo, Paul Kassanga.

Meneja wa  Kampeni wa Mtangaza nia huyo, James Mbuligwe (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.

Katibu wa Sera...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani