Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"
![](http://3.bp.blogspot.com/-ybieUunwRQM/VYUKkt_l2VI/AAAAAAAAHO8/yaqUqRlvF-4/s72-c/LEMA.png)
HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.Panju alitangaza rasmi nia hiyo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jijini hapa, ambapo aliwataka wanachama wa CCM kumuamini na kumpa nafasi ili apeperushe bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huuAidha, alisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xa7rDnAgaa69wmmAtUesjixnZRR4btYFfIds3lj8CPYbGa0einsEGUZBg*wCC5eabsvWLqR8lTFSjchBsfNQd0MMuTjBK7zh/lemapix.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI GODBLESS LEMA, NINGETHIBITISHA KAULI YANGU KUHUSU CHAGONJA
5 years ago
The Citizen Daily12 Mar
DPP vows to act tough against Arusha MP Godbless Lema
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya
Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi wake kutangazwa aliyekua mgombea wa CCM Philemon Mollel amejitokeza kusema ushindi ni batili. Sababu zote zilizomfanya Mollel kusema ushindi huo ni batili zipo ukibonyeza play […]
The post Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya appeared first...
10 years ago
MichuziMHE. GODBLESS LEMA AFUNGUA WARSHA YA AFYA YA UZAZI NA UKIMWI KWA VIJANA JIJINI ARUSHA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bNZ5imqQQLI/Xl5FrgZ_RYI/AAAAAAAAkUA/CFGBrsP3aqAE9s0pZljFpxgIoRHuQvtHQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_0091.jpg)
MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ADAKWA MKOANI SINGIDA KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UWONGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-bNZ5imqQQLI/Xl5FrgZ_RYI/AAAAAAAAkUA/CFGBrsP3aqAE9s0pZljFpxgIoRHuQvtHQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_0091.jpg)
Na Ismail Luhamba, SingidaJESHI la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kwa tuhuma za kusamabaza taarifa za uongo kuwa watu 14 Wilayani Manyoni walifariki kwa kuchinjwa katika matukio mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ASP) Sweetbert Njewike (pichani kulia) alisema wamemkamata Mbunge...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yYruf1t-f4M/XmuNY3o2c4I/AAAAAAAC8bY/JihAvaiAr9QZVB6ePVHtXVwRY-vSsFllACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU†YAWA CHACHU YA MAENDELEO KWA MNUFAIKA WA TASAF MKOANI SINGIDA
James Mwanamyoto - Singida
Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), Bibi Edith Brayson Makala mwenye umri wa miaka 55 mkazi wa Manispaa ya Singida, Mtaa wa Sokoine, amesimamia vema Kauli Mbiu ya HAPA KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambayo imemuwezesha kuinua uchumi wa familia yake kupitia ruzuku ya TASAF.
Akitoa ushuhuda jana, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kamati hiyo...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-cwGvojgeDO4/Vm9dzOEu4kI/AAAAAAAAXb8/PmwraiuJQ-Y/s72-c/pic%252Blema.jpg)
GODBLESS LEMA AREJEA BUNGENI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Fk5g0t9PHmg/VQx_JOEWitI/AAAAAAAHLv8/Qj7ltfTx9mk/s72-c/unnamed%2B(69).jpg)
MHE. GODBLESS LEMA ATUNGIWA NYIMBO
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fk5g0t9PHmg/VQx_JOEWitI/AAAAAAAHLv8/Qj7ltfTx9mk/s1600/unnamed%2B(69).jpg)
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Mpinzani wa Lema atoa visingizio lukuki
ELIYA MBONEA NA ABRAHAMU GWANDU, ARUSHA
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel ‘Monaban’, ameibuka na madai mazito kwa Jeshi la Polisi kuwa walichangia kushindwa kwake na Godbless Lema wa Chadema.
Katika uchaguzi huo uliofanyika jijini hapa juzi, wapigakura 105,800 walijitokeza kati ya 317,814 waliojiandikisha ambapo kura halali zilikuwa 104,353 huku 1,447 zikiharibika.
Msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,...