Mpinzani wa Lema atoa visingizio lukuki
ELIYA MBONEA NA ABRAHAMU GWANDU, ARUSHA
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philemon Mollel ‘Monaban’, ameibuka na madai mazito kwa Jeshi la Polisi kuwa walichangia kushindwa kwake na Godbless Lema wa Chadema.
Katika uchaguzi huo uliofanyika jijini hapa juzi, wapigakura 105,800 walijitokeza kati ya 317,814 waliojiandikisha ambapo kura halali zilikuwa 104,353 huku 1,447 zikiharibika.
Msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ybieUunwRQM/VYUKkt_l2VI/AAAAAAAAHO8/yaqUqRlvF-4/s72-c/LEMA.png)
Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"
![](http://3.bp.blogspot.com/-ybieUunwRQM/VYUKkt_l2VI/AAAAAAAAHO8/yaqUqRlvF-4/s1600/LEMA.png)
HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.Panju alitangaza rasmi nia hiyo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika jijini hapa, ambapo aliwataka wanachama wa CCM kumuamini na kumpa nafasi ili apeperushe bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huuAidha, alisema...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Kerr aanza visingizio
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr amesema kuwa, kufungwa kwa timu yake na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), mabao 2-0 kunatokana na wachezaji sita kutokuwemo katika kikosi hicho.
10 years ago
Habarileo27 Feb
RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Mkwasa arudi na kifurushi cha visingizio
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, amerudi na kifurushi cha visingizio, akifichua sababu zilizoiua timu hiyo na kupokea kipigo cha fedheha cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria ‘The Desert Foxes’.
Stars ilipokea kipigo hicho kwenye mchezo wa raundi ya pili ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, kilichoifanya kutolewa kwa jumla ya mabao 9-2 kufuatia sare ya 2-2 ya mechi ya awali.
Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Kocha Toto Africans amwaga visingizio
KOCHA Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics, amesema malengo ya klabu yake si kuzifunga Simba, Yanga wala Azam badala yake ni kuhakikisha inaendelea kubaki kwenye ligi ili apate muda wa kukiboresha kikosi hicho.
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Slaa: Rais Kikwete aache visingizio
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Polisi Moro: Yanga acheni visingizio vyenu
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
CHADEMA wakubali sababu badala ya kutafuta visingizio
ZIPO sababu na vipo visingizio. Visingizio ni vitu au ni mambo yale ambayo tunayalaumu ili tu kukwepa kukilaumu kile hasa kinachohusika na matatizo yetu. Kwa mfano, mtu akiambiwa kuwa barabara...
5 years ago
Bongo514 Feb
Bongo Movie Tuacheni Visingizio – Steve Nyerere
Baada ya maandamano ya wasanii wa filamu nchini yaliyofanyika Jumatano hii katika mtaa wa Aggrey Kariakoo, msanii wa tasnia hiyo Steve Mengele Nyerere amefunguka kuhusu tukio hilo.
Akiongea na waandishi wa habari, Steve ameeleza kuwa sababu ya yeye kutokuungana na wasanii wenzake kuandamana ni kwa kuwa jambo hilo halioni kama lina tija kwake.
“Binafsi ninalipinga hili, wasanii tunataka kutumika ndivyo sivyo. Mimi siwezi tu kuambiwa kuwa kuna maandamano nikaenda.
“Tunavyosema filamu za nje...