RC: Hakuna visingizio ujenzi wa maabara
MKUU wa mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara za sayansi kwenye kata ifikapo Machi mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Pinda: Ujenzi wa maabara palepale
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda amesema tarehe ya mwisho iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari iko palepale na amewataka watendaji wa halmashauri na mikoa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo.
Alitoa agizo hilo Mwanza jana alipozungumza na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waratibu wa Elimu wa Wilaya na Mikoa waliohudhuria ufunguzi wa mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
Waziri Mkuu ambaye...
10 years ago
Habarileo08 Feb
Mikoa 6 taabani ujenzi wa maabara
MIKOA sita ‘imevurunda’ katika ujenzi wa maabara katika shule za sekondari baada ya kushindwa kufikia malengo. Ni mikoa mitatu pekee ndiyo imefanya vizuri kwa kuvuka nusu ya malengo.
10 years ago
Habarileo18 Dec
Pwani ujenzi wa maabara asilimia 80
WILAYA ya Kibaha mkoani Pwani imefikia asilimia 80 ya ujenzi wa maabara kwenye shule za sekondari na inatarajia kukamilisha ujenzi huo mwishoni mwa mwezi huu.
10 years ago
Habarileo04 Feb
Wagomea ujenzi wa maabara mbele ya RC
WANANCHI wa Kijiji cha Mahaha, kata ya Shishani, tarafa ya Ndagalu wilayani Magu, mkoani Mwanza wamegoma kuendelea na ujenzi wa maabara katika Sekondari ya Shishani na badala yake wanataka kuendelea na ujenzi wa sekondari ya kijiji chao.
10 years ago
Habarileo30 May
DC Mpwapwa apania ujenzi wa maabara
MKUU mpya wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Antony Mavunde ameapishwa jana mjini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma huku akisema kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha ujenzi wa maabara unakamilika kwa wakati.
10 years ago
Habarileo27 Jan
RC akataa taarifa ya ujenzi maabara Kilosa
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ameikataa taarifa ya ujenzi wa maabara ya Wilaya ya Kilosa kutokana na utekelezaji wake kusuasua na kuagiza kukamilishwa ndani ya Machi mwaka huu.
10 years ago
Habarileo13 Mar
Mkurugenzi Masasi ahimiza ujenzi wa maabara
MKURUGENZI wa Halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara, Fortunatus Kagoro amewataka wananchi mjini humo kuwa na moyo wa uzalendo.